Msanii kutoka nchini Nigeria, Rema ala shavu kufanya kazi pamoja na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu na mfanyabiashara Michael Jordan kwenye tangazo la bidhaa za michezo ...
Wakati Miss Tanzania wakiendelea kujichua na mashindano, hatimae waandaaji wa mashindano ya ulimbendwe Duniani (Miss World) wameweka wazi fainali za mwaka huu zitafanyika Dese...
Wakati mashabiki wa Simba wakisubiri uzi wao unaotarajiwa kutambulishwa kesho Ijumaa katika Mlima Kilimanjaro huku mashabiki wa #Yanga wakimkaribisha Mvp mpya #PacomeZouzoua a...
Walimu wengi huwa na mitindo ya kufanana kwenye mavazi, mavazi ya heshima yasiyiweza kuonesha maungo yao ni sheria kwao.
Lakini hiyo imekuwa tofauti kwa mwalimu Lulu maarufu k...
Baada ya mtu mzima #Diamond kupata mashambulizi ya ku-copy asilimia kubwa ya nyimbo za wasanii wengine kutoka nje ya nchi, #Simba hakutaka kulikalia kimya swala hilo, na kuanz...
Muigizaji Jackline Wolper amewajibu mashabiki wanaodai kuwa mtoto wake wa kwanza #P pengine anagombezwa na dada wa kazi wa nyumbani, ndio maana mtoto huyo anaonekana kuwa muog...
Baada ya baadhi ya warembo maarufu nchini kufululiza kwenye mitandao ya kijamii wakidai kununuliwa zawadi ya magari na wapenzi wao, Mwigizaji @nana_dollz ametupa dongo kwenye ...
Raia wa Nigeria, Tembu Daniel Ebere maarufu kama @237_towncryer, alipoteza uwezo wa kuona kwa muda, wakati wa jaribio lake la kuvunja rekodi ya Dunia ya Guinness ya kuwa mtu a...
Huku purukushani za usajili zikiendelea katika vilabu mbalimbali, Singida Fountain Gate FC imeshusha ‘jezi’ mpya (Uzi) ya msimu 2023/2024, uzinduzi huo wa ‘j...
Kwa mara nyingine tena nyota wa muziki Tanzania #DiamondPlatnumz amejikuta akiingia katika tuhuma za kuiga miondoko ya nyimbo za wasanii wengine kutoka maeneo mbalimbali hasa ...
Msanii wa #HipHop nchini Marekani, Rick Ross amkaribisha mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Inter Miami, Lionel Messi Jijini Miami, ambapo alitambulishwa hivi karibuni na ...
Hatimae aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushayna ametemwa ubalozi wa kutangaza nywele na Kampuni ya Uuzaji Nywele Bandia (Wigs), ikumbukwe kuwa Rushayna alipata ubalozi huo, mar...
Kama ilivyo kawaida kuona sura mpya kwenye Tasnia ya Ugizaji, this time imeonekana sura ya aliyekuwa mke wa Doctor Mwaka #QueenOscar, imekuwa kama surprise kwa mwanadada huyo ...
Duniani kuna mengi ya kustaajabu na kufurahisha, ukizungumzia vitu asilia basi suala kama hili huwezi kuacha kuligusia kuhusiana na viumbe wenye ulemavu wa ngozi.
Ukiangalia b...