18
ROMA: Wakitoa hit utasikia nilikaa kimya kwa muda mrefu
 Msanii wa muziki wa #HipHop nchini Roma Mkatoliki, ametupa jiwe gizani kwa baadhi ya wasanii wenye tabia ya kudai walikaa kimya kwa muda mrefu, mara baada ya kuona wamet...
17
Daimond na Alikiba waanza Upya vita ya muziki
Kuna nyakati kiwanda cha muziki wa burudani kinapoa hasa msanii DiamondaPlatnumz, na #KingKiba wasipoachia kazi zao, vichwa hivi viwili kwenye ‘gemu’ ya #BongoFlev...
17
Nancy Sumari ahitimu masomo London
Aliyewahi kuwa miss Tanzania 2005 #NancySumari, ameweka wazi kumaliza masomo yake nchini London. Nancy amehitimu masters ya Education Economics and International Development, ...
17
Nhlanhla Mafu afunguka kupata tatizo la kutosikia
Muimbaji wakundi la #Mafikizolo kutoka nchini Afrika kusini #NhlanhlaMafu amefunguka sababu ya kutosikia kwa muda mrefu kumetokana na kuwa kwenye muziki kwa zadi ya miaka 26, ...
17
Wanawake wenye sifa hizi huolewa haraka
Wakati baadhi ya wanawake wakitumia mbinu mbalimbali ili kupendezesha midomo yao, huku wapo wale wa kupaka vitu kama vile lips ticks na kufanya upasuaji wa midomo. Wafahamu wa...
17
Nai: Mimi siwezi kufanya surgery , kuchora tattoo
Video vixen #Nai amewataka wanawake wanaojiongezea ‘shepu’ na kubadirisha muonekano wao, wajikubali na jinsi walivyo umbwa. Kupitia mahujiano yake na moja ya chomb...
17
Ndoa ya Nandy na Billnass yavutia mashabiki
Kwa #Bongo ukizungumzia penzi la watu maarufu ambalo limedumu hadi kuingia kwenye ndoa huwezi acha kumzingumzia #Nandy na #Billnass. Wanandoa hao unaweza kuwaita ndege wawili ...
17
Baba Levo ampa Alikiba maua yake
Baada ya mkali wa sauti #Alikiba kutoa ngoma ya Amapiano inayoenda kwa jina ka #Sumu aliyo mshirikisha #Marioo, Chawa wa Taifa Baba Levo, ameonekana kuvutiwa na ngoma hiyo na ...
17
Ngoma za Chino Kidd za kimbiza South Africa
Msanii wa kizazi kipya #ChinoKidd wakumuita Chino Wana Man ameweka wazi hisia zake kwa kujivunia kwa kile anacho kifanya kwenda mbali zaidi tofauti na alivyo fikiria hapo awal...
17
Lulu amjia juu shabiki kisa Hamisa Mobetto
Muingizaji wa #BongoMovie Elizabeth Michael (Lulu), kama ilivyo kawaida yake kutovumilia maneno ya  mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, kwa mara nyingine tena #Lulu ama...
14
Nini kinaendelea nyuma ya tweets za Barbara
Mfanyabiashara na aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘Klabu’ ya Soka Tanzania, Simba Sport Club, Barbara Gonzalez, ameendelea kuacha maswali kwa mashabiki wa soka nc...
16
Jinsi ya kupamba keki ya birthday (biashara)
Hey guyz mambo zenu, najua wengi wenu mtashangaa kwanini nimekuja na mada hii katika biashara, hivi mnajua mitaani humo nimekuta stori nyingi sana kuhusu watu kujua kupika kek...
16
Kuzingatia vyakula ukifikisha miaka 40 na zaidi
Mko pouwa eeeh! Basi bwana watu siku hizi wamekuwa wakijisaulisha sana umri wao nikikimbushe tuu kama uko na 39 kwenda juu hii inakuhusu kabisa, leo katika afya tunaangazia ma...
16
Muonekano mzuri wa ngozi kwa wanaume
Hello guys!! Acha nikusalimu kwa jina la fashion mtu wangu tunakutana tena another weekend ili tuweze kupashana mambo ya Fashion na tuna hakikisha haupitwi na kitu ngojea tuon...

Latest Post