Zaidi ya watu 8 wauwawa wakiwemo watoto watatu kwa mabomu yaliyokuwa ndani ya gari katika matukio mawili tofauti kaskazini mwa nchi ya Syria siku ya jumapili.
Shirika linalofu...
Msanii kutoka nchini Marekani Drake alishambuliwa jukwaani wakati akiperform wimbo wa ‘So Anxious’ kwa kurushiwa viatu, simu na nguo kutoka kwa mashabiki, katika u...
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya Wiki moja iliyopita. ...
Eeeeeeeh! Mwamba huyu hapa, I hope mko good watu wangu wa nguvu, sasa leo bwana tuko na kitu najua sio kigeni sana ila kuna baadhi ya watu kinawasumbua kutengeneza au kupika.
...
Mamboz!!! Uhali gani mfanyakazi mwenzangu nikwambie tu tumekutana tena this weekend kwenye segement yetu ya kazi kama kawaida hapa lazima nikuelekeze mambo yote yanayo husiana...
Mambo niaje!! My beautifuly people nikukaribishe tena kama kawaida yetu kila weekend lazima tuwe na jambo jipya katika fashion, team Scoop tunakwambia fashion ni usafii mwanet...
Na Magreth Bavuma
Ouyaaaaaah wanangu eeeeh niaje niaje, kusanya kijiji chako wakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” eneo moja tu tuna...
Na Elizabeth Malaba
Ooooiiih! Niaje niaje watu wangu wa nguvu, kama kawaida afya ndo jambo la muhimu katika maisha haya, sasa tunaendelea pale tulipo ishia katika suala zima l...
Mamboz guys!! Hivi unajua hii ni weekend nyengine mwamba ni kawaida yetu lazima tukuwekee kitu kizuri katika michezo na burudani ili usikae kinyonge mtu wangu wa nguvu.
Leo ka...
Baada ya siku ya jana kusambaa kwa taarifa kuwa msanii kutoka Tanzania Jay Melody amekamatwa na Polisi nchini Kenya kwa kosa la kumshambulia promota Golden Boy.
Promota huyo a...
Wengi wetu tumesoma vitabu vya mwaandishi Richard Mabala lakini hakuna anaefahamu kuwa mwandishi huyu mwenye asili ya Uingereza kuwa ni Mtanzania alieitangaza kwa upana mkubwa...
Kiongozi wa upinzani nchini Senegal, Ousmane Sonko, hana mpango wa kutafuta maridhiano, na Rais Macky Sall, na ameashiria kuwa anaweza kujaribu kuvuruga uchaguzi wa mwaka ujao...
Watu wawili ambao ni wapenzi wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Meta, Mark Zuckerberg, siku ya jana amezindua Mtandao mpya ambao unashindana na Twitter ulioshika kasi kwa matumizi hivi sasa duniani kote. Mtandao huo...