Shirika moja la kutetea haki za binadamu lilisema Jumatatu nchi ya Iran imewanyonga watu wasiopungua 354 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu na kuongeza kuwa kasi ya kuwa...
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiw...
Ebanaeee!! Hii kali niwatahadhalishe tu wale wanaume wa kukamia game mkiwa falagha mambo ni tofauti, tafiti za madaktari wa idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) katika Ho...
Kundi la Taliban limeamuru saluni za nywele na urembo za kike nchini Afghanistan kufungwa ikiwa ni kikwazo kipya wanachokabiliana nacho wanawake. Taliban imewapa wanawake wa ...
Joyce Ijeoma, mfanya massage maarufu Nigeria alianguka ghafla katikati ya jaribio lake la kutaka kuvunja rekodi ya Dunia ya Guinness. Mtaalamu huyo wa Massage alitangaza nia ...
Hivi karibuni mwamba Chino Kidd amekuwa akitajwa sana midomoni mwa watu wengi na yeye pia anazidi kushangaa jinsi gani watu wamempokea kwa ukubwa huku akiwakumbusha dancers we...
Takriban watu wanne wameuawa huku watoto wawili wakijeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea jana Jumatatu Julai 03, 2023 katika mji wa Philadelphia nchini Marekani. K...
Wafanyakazi 4 wa kampuni ya JV SPEK LTD inayojenga mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Igunga Mk...
Mkuu wa ufalme wa kitamaduni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Afrika Kusini, Misuzulu Kazwelithini alitoa tamko siku ya jana Jumatatu kuwa yupo salama na akakanusha uvumi k...
Papa Francis wa kanisa katoliki Duniani amelaani vikali vitendo vya kuchoma vitabu takatifu kwa waislam (Quran) baada ya mtu mmoja kuchoma kitabu hicho kwenye mji mkuu nchini ...
Mmoja wa watoto wa kiume wa marehemu kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, Hannibal Gaddafi ameripotiwa kuhamishwa kutoka jela ya Lebanon, ambako amekuwa kwenye mgomo wa kula, na...
Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imetangaza rasmi kuwa Kampuni ya Nike ndio wadhamini wao wa Jezi kwa Msimu unaotarajia kuanza wa 2023/24.Kampuni ya Nike itabuni vifaa vya Mi...
Meya wa mji mdogo wa Mexico aliefahamika kwa jina la Victor Hugo Sosa, amefunga ndoa na mamba katika tambiko la miaka mingi la mavuno ambapo mchumba wake huyo alitambulika kwa...
Wiki iliyopita kulikuwa na taarifa kuwa msanii kutoka nchini Kenya Otile Brown anategemea kuwa baba kwa mara ya kwanza, ambapo aliweka wazi kupitia Instastori yake.
Basi bwana...