Mwanadada ambae anatamba kupitia nyimbo yake ya Blessing, Anjella amefunguka mazito ambayo yalimpata baada ya kuondoka katika Lebo ya msanii mkubwa Tanzania, Harmonize ya Kond...
Serikali ya Uganda inapanga kuongeza umri wa unywaji pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kukabiliana na uraibu, afisa wa Wizara ya Afya ameeleza.
Akizungumza katika Kongamano la...
Ikiwa familia zinaendelea kuomboleza kuwapoteza wapendwa wao katika ajali hiyo, Shangazi yake Suleman Dawood, ambaye alikuwa kwenye nyambizi ya Titan na baba yake Shahzada, an...
Waokoaji wamekuwa wakikimbizana na muda kuitafuta manowari ya kitalii iliyopotea siku ya Jumapili karibu na kisiwa cha Newfoundland, Canada katika bahari ya Atlantiki. Chombo...
Mwanamama aliefahamika kwa jina la Laura Llg mwenye umri wa miaka 31 amepoteza maisha baada yakupigwa risasi na mtoto wake wa kiume wa miaka 2.
Polisi wa eneo hilo wamesema ku...
Baba mzazi wa mshambuliaji kutoka katika klabu ya PSG Neymar, Neymar de Silva Santos, amekamatwa na mamlaka nchini Brazil, kulingana na ripoti nchini humo. Inasemekana kuwa m...
Ikiwa ni Siku moja tangu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, kuitaka Serikali kuwawajibisha Waajiri wanaoshindwa kuwasilisha Michango pamoja na Mifuko kutolipa madeni ya Wanach...
Klabu ya Simba tayari imeachana na watu 8 kwenye benchi la ufundi na wachezaji na leo mtu wa 9 kuachana nae kikosini hapo ni golikipa namba mbili, Beno Kakolanya. Kakolanya a...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumteka mtoto mdogo wa kike (9) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mizengo Pinda Manis...
Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop, Hamadi Ally Seneda maarufu kama Madeeali ametangaza rasmi kuachana na muziki baada ya kuufanya kwa miaka 20.
Kupitia mitandao yake ya kijamii m...
Takriban watu saba wameuwawa siku ya jana wakati magari mawili yaliyobeba mabomu kulipuka nje ya kambi ya mafunzo ya kijeshi katika mji wa Bardhere, kusini mwa Somalia.
Moja y...
Kutokana na serikali kushindwa kupeleka nishati ya umeme katika kijiji cha Uhambule wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe Wenyekiti wa vitongoji 3 pamoja na wajumbe 7 wa Serika...
Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Nassim Mbazu amepewa hukumu ya kifungo cha nje kwa kesi ya wizi.
Kwa mujibu wa waendesha masht...