Shirika la habari la serikali nchini Rwanda limeripoti kwamba watu 109 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi huko Mahgaribi na Kaskazini mwa Rwanda.
Maporomoko hayo ni ku...
Wakala wa kudhibiti Chakula na Dawa (Nafdac) nchini Nigeria imesema inachukua hatua za haraka kuchunguza aina maarufu ya tambi za Indomie baada ya madai ya kuwepo kwa 'su...
Kwa mujibu wa wakala wa ripoti za vyombo vya habari nchini Marekani Nielsen Rating, wameripoti kuwa show ya Rihanna Half Time Super Bowl ndiyo show iliyotazama zaidi kuliko Sh...
Nahodha wa timu ya Argentina Lionel Messi amesimamishwa kucheza katika klabu yake ya Paris St-Germain (PSG) kwa wiki mbili baada ya kusafiri katika nchi ya Saudia Arabia bila ...
Waziri wa kazi, Ajira na uhusiano wa viwanda Nchini Uganda, Charles Okello Engola ameuawa asubuhi hii kwa kupigwa risasi na Mlinzi wake.
Spika wa Bunge nchini humo Anitha Amon...
Kufatiwa sehemu za makazi ya kuwahifadhi wahamiaji katika jiji la Texas nchini Marekani imeeleza kuwa imezidiwa uwezo kutokana na wimbi kubwa la wahamiaji nchini humo.
Wahamia...
Baadhi ya wahanga wa dhehebu tata linaloendesha shughuli zake katika msitu wa Shakahola katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya, waliuawa kwa kunyongwa, yameonyesha matokeo ya vi...
Kufatia ukaguzi ambao ulifanywa kwa agizo la IGP Camilius Wambura kama sehemu ya kudhibiti wimbi la ajali nchini Jeshi la Polisi Tanzania limebaini vyuo 161 vimefanya udangany...
Mwanamuziki wa hiphop kutoka nchini Marekani Post Malone amekanusha kutumia madawa za kulevya baada ya maswali mengi kuibuka kutokana na mabadiliko kwenye mtindo wake wa...
Aliyekuwa gwiji wa soka marehemu Edson Arantes do Nascimento, maarufu kama Pele, jina hilo limeingizwa rasmi kwenye kamusi likimaanisha kitu ama jambo la "kipekee kisicholinga...
Jonathan Jacob Meijer mwenye umri wa miaka 41 raia wa Uholanzi amepigwa marufuku kusambaza mbegu zake za kiume baada ya kugundulika kuwa na watoto zaidi ya 550 duniani kupitia...
Serikali imewasimamisha kazi watendaji 7 wanaofanya kazi uwanja wa taifa (Benjamin Mkapa stadium) ambapo walisimamishwa kazi kutokana na hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Colombia aliefahamika kwa jina la Maria Aderlina Forero aligundua kuwa ndani ya mwili wake kulikuwa na sindano na uzi vilivyosahaulika na madaktar...