Baada ya kusaini mkataba wa kuitumia Azam FC, Feisal Salum amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza sakata lake la kuvunja mkataba na klabu ya Yanga. Katika hatua za...
Mhamiaji kutoka nchini Nigeria Yemi Mobolade ameapishwa Juni 6 kuwa meya wa kwanza mwenye asili ya kiafrika nchini Marekani katika jiji la pili kwa ukubwa la Colorado.
Gavana ...
Alooooooh! Baada ya sakata la kijana mwenye mashuti yake mjini, hatimae uongozi wa Yanga SC umetangaza kumalizana na mchezaji Feisal Salum maarufu kama 'Fei Toto' ambaye rasmi...
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi anatarajia kuitwa baba siku chache zijazo baada ya kuweka wazi kuwa mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Lynne ni mjamzito. Rais h...
Wizara ya Afya kutoka nchini Uganda imeeleza kuwa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni akutwa na maambukizi ya Uviko-19 ambapo alianza kupata dalili za homa na mafua makali ingaw...
Mwalimu Nkya kutoka shule ya msingi Miririni mkoani Arusha alimpa adhabu mwanafunzi Milcah Zakaria Mbise mwenye umri wa miaka 11 wa darasa la 4 ambayo ilimuumiza mkono.
Tangu ...
Serikali nchini Congo imesema raia 10 wamefariki baada ya chuo kikuu chao kushambuliwa katika mashambulizi ya anga yaliyotokea katika mji mkuu wa nchini Sudan, Khartoum siku y...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia Herman Magigita mwenye umri wa miaka 60 mchungaji wa kanisa la ‘Neno’ lililopo kijiji cha Chema.
Kwa kosa la kufanya sh...
Wasanii kutoka nchini Tanzania, Ibrahim na Fadi Ramadhani, maarufu kama The Ramadhani Brothers usiku wa kuamkia leo walishangaza watu kwa kitendo chao kinachoitwa ‘Head-...
Ebhana!! wakati utandawazi ukichukua nafasi kubwa duniani katika vitu mbalimbali huku tunaona mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina Rosanna Ramos mwenye...
Mkuu wa jeshi na waziri wa ulinzi nchini Rwanda wamefutwa kazi kwa wakati mmoja, hali ambayo si kawaida nchini humo ni baada Rais Paul Kagame kuchukua maamuzi hayo pasipo kuta...
Baada ya kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza kumsogelea kwa ufungaji mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 na yeye 15, uongozi wa Simba umetoa neno. Meneja Haba...
Msanii kutoka nchini Nigeria Davido kwenye moja ya interview aliyoifanya hivi karibuni amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchekeshaji (comedia...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana leo amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara kwa Mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma, ambapo moja y...