Mkuu wa polisi nchini Kenya Inspekta jenerali Japhet Koome amepiga marufuku wafuasi wa upinzani kuitisha maandamano haramu leo Jumatano kufuatia wimbi la hasira juu ya ongezek...
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limezingungia klabu ya Fountain Gate na Kitayosce kufanya usajili kwa wachezaji wa kimataifa, uamuzi huo umefanywa baada ya Kocha Ahme...
Wamiliki wa magari pamoja na waendesha boda boda katika mji wa mpakani wa Namanga wanaendelea kuingia nchini Tanzania ili kununua mafuta ya bei rahisi kulingana na gazeti la N...
Nyie nyieee!! Mambo yanaenda kasi kwa muziki wa Bongo Hip Hop ni baada ya Young killer Msodokii kumjibu Young Lunya kupitia Freestyle Session 6 na kushika kasi kwa ufuatiliwaj...
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar Dkt. Omar amesema Askari wake wameanza kukamata Wanaume wote wanaosuka nywele kama za Wasichana wakiwa Z...
Ebane! Huko majuu kumenoga hatari famasiala na mapenzi wewe, bwana baada ya kusitisha uhusiano wao wiki chache zilizopita, wasanii kutoka Marekani Avril Lavigne na Tyga waunga...
Bwana bwana sijui kama umekutana nayo hii katika status au mitandao ya kijamii kuhusiana na kijana Athumani Yengayenga mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa Shanwe Manispaa ...
Wajumbe wa kamati ya Mamlaka ya ushirikiano wa Serikali za Afrika Mashariki na pembe ya Afrika, (IGAD) ya kutafuta suluhisho kwa mzozo wa Sudan, wamekutana mjini Addis Ababa J...
Rais wa Gabon, Ali Bongo amedhamiria kugombea tena kiongozi huyo aliyeingia madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40.
...
Rapa kutoka nchini Marekani Travis Scott ametangaza kuzindua albamu yake mpya alioipa jina la ‘Utopia’ kwenye show atakayoifanya Piramidi za Giza nchini Misri Ijum...
Hivi karibuni kumekuwa na msongamano wa wagonjwa katika vituo vya Afya hali inayo pelekea baadhi ya wagonjwa kukosa huduma kwa sababau ya semina za wauguzi.
Waziri wa Afya, Um...
Muigizaji wa kijapani Jackie Chan anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola milioni 400, cha kusangaza ni kwamba hatamrithisha utajiri wake mwane Jaycee Chan kutokana na kuwa ...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau t...