01
Benki ya dunia yaikopesha Tanzania billion 700
Nchi ya Tanzania imepata Mkopo wa Dola za Marekani Milioni 300 ambapo ni takribani billion 700 kwa pesa za kitanzani kwa ajili ya kuchochea uzalishaji, kuimarisha sekta ya kil...
01
Sudani yagoma kusitisha mapigano
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...
01
Waziri apiga marufuku kuwakataza watoto kwenda likizo
Waziri wa elimu,sayansi na teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema amepokea malalamiko kwamba kuna Shule zinazuia wanafunzi kwenda likizo bila kushauriana na wazazi. Huku wazazi...
01
Mume avunja ndoa yake kisa mchepuko wa Facebook
Ebanaee!!! ukiskia kivumbi na jasho ndo hii sasa, unaambiwa bwana Mume wa mtu kutoka nchini England aliye fahamika kwa jina la Stuart Slann, aliesafiri na gari kwa maili 400 a...
01
Fei toto: Hersi akiondoka Yanga narudi kambini hata sasa hivi
Huku sakata la mchezaji Feisal Salum maarufu kama Fei Toto likiendelea, leo bwana kijana huyo amefunguka mazito baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kupitia mahojiano yake na m...
31
Korea Kaskazini yazindua setelaiti
Nchi ya Korea Kaskazini imezindua kile ilichokiita setelaiti ya angani kuelekea kusini kwa majira ya nchi hiyo, hatua hiyo imesababisha kutolewa kwa tahadhari ya dharura, na o...
31
Nandy akanusha kuwa na Supermarket
Mwanamuziki, The African Princess, Nandy amlilia Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye baada ya watu wasio waaminifu kutumia jina lake kutapeli um...
31
Vyombo vya habari kuchunguzwa
Waangalizi wa vyombo vya utangazaji vya nchini Uturuki, jana Jumanne, wametangaza kuchunguza vituo sita vya televisheni vya upinzani kwa madai ya kukashifu umma kupitia matang...
31
Baby mama wa Dababby akamatwa kwa kusababisha ajali
Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Danileigh ambae ni Baby mama wa Rapa Dababy, amekamatwa na Polisi kwa makosa matatu. Ikiwemo kosa la kumgonga mtu kwa gari na kukimbia hu...
31
Muigizaji wa miaka 82 ampa binti ujauzito
Ebanaee!! ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni, Imeoneka siku hizi wadada wanavutiwa kimahusiano na wazee hiyo imetokea kwa muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani  m...
31
Paul Walker apata mrithi wa jina lake
Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliefariki katika ajali ya Gari November 30, 2013, huko Valencia, Sa...
31
Mhubiri mwenye watoto 289 kuhojiwa na polisi
Mhubiri Ronald Wanyama, anayejulikana pia kama Nabii Yohana raia wa Kenya, ametakiwa kufika mbele ya Kamanda wa Polisi wa Bungoma, Juni 2, 2023 kwa ajili ya kujieleza. Mhubir...
30
Diamond anaupiga mwingi kwenye maokoto
Ebanaee!!! Amkeni bhana we hivi unajua staa wa muziki wa bongo fleva Diamond platnumz anaingiza mkwanja wa kiasi kikubwa cha Tsh.milioni 183. Kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter ...
30
Maua Sama: Naogopa sana magari
Hahahahah! Make hapa kwanza nchike, wakati mimi na wewe msomaji tukitamani kumiliki mandinga na kutamba nayo mitaani kumbe kuna wenzetu wanayo ila hawawezi kuyatumia. Basi bwa...

Latest Post