Nyie nyie mjini kumechangamka haswa baada ya lile jambo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu Realiy show ya ‘Young, Famous, and African’ ambayo imewashirikisha ma...
Mwadada Bernice Kariuki kutoka nchini Kenya ambae mpishi wa wachezaji pamoja na benchi zima la ufundi la klabu ya Arsenal ametangaza kuacha kazi ya kuiandalia chakula klabu ya...
Mahakama nchini Libya siku ya jana Jumatatu ilitoa hukumu ya kifo kwa wanajihadi 35 waliokutwa na hatia ya kupigana pamoja na kundi la Islamic State katika nchi hiyo iliyopo A...
Waziri Mkuu kutoka nchini Japani, Fumio Kishida amechukua uamuzi wa kumuondoa mtoto wake katika cheo chake cha katibu mkuu kutokana na kuonesha tabia isiyofaa katika jamii.
Ha...
Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Davido sasa anatambulika kama Officer Of The Order Of The Niger (OON), cheo cha heshima na chenye hadhi ya juu alichotunukiwa ikiwa ni is...
Nyieee!! Amkeni huku kumekucha bhana hili suala la uvaaji wa mwanamuziki Yasiruni Yasini Shabani maarufu Yammi umevuka mipaka mpka mashabiki mitandaoni wanamsema vibaya msanii...
Mwanamuziki wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Guchi ameelezea kutoridhishwa kwake na lebo yake ya PG Records Entertainment kwa kuchelewesha kuachia wimbo aupendao.
Guchi ana a...
Ooooooh!!! Kivumbi leo, bwana bwana kumekuwa na sintofahamu kati ya wanamuziki wa kizazi kipya Mbosso Khan na Marioo baada ya mzee wa amepotea kutoalikwa katika show ya Marioo...
Nchi ya Marekani na Mexico zimelitaka shirika la Afya Duniani (WHO) kutangaza dharura ya afya ya umma kutokana na mlipuko wa fangasi ya uti wa mgongo unaohusishwa na shughuli ...
Mipango inaendelea ya kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo.
Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wiza...
Gavana wa zamani wa Lagos, Bola Ahmed Tinubu, ataapishwa leo kuwa rais mpya wa Nigeria. Hii inafuatia na uchaguzi uliokumbwa na utata mwezi Februari ambao unapingwa na upinzan...
Mfugaji wa mamba huko kaskazini mwa Cambodia amechanwa vipande vipande na Zaidi ya mamba 40 baada ya kuangukia kwenye sehemu walipofungiwa, polisi wamesema. Luan Nam, mwenye ...
Alooooh!!! It’s Friday kama kawaida watu wangu karibu sana kwenye ukurasa wa fashion bila shaka umekua mfuatiliaji mzuri sana ukiwa unachukua madini kadha wa kadha kuhak...
Oooooooh! Niaje niaje wale wanangu wasiopenda kuajiriwa yaani kuna wale vijana msimamo wao kila siku ni kujiajiri tuu haijalishi iwe biashara au ujasiliamali wenyewe wanasema ...