Mtu mmoja nchini Marekani alifahamika kwa kwajina Richard Barnett, mwenye umri wa miaka 63, alidaiwa kujiunga na kundi la watu waliovamia majengo ya bunge la nchi hiyo mwaka 2...
Rais kutoka nchini Kenya William Ruto ametoa taarifa hiyo jana Mei 24, 2023 jijini Nairobi kwenye Mkutano wa ID4 Africa na kueleza kuwa ni mpango wa Serikali kuanza kusa...
Nyota mkongwe wa Muziki wa Rock 'n' Roll kutoka nchini Uswisi amefariki dunia nyumbani kwake huko Kusnacht akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujib...
Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho amesema anafurahia maisha ndani ya Yanga kutokana na timu hiyo kumfanikishia malengo yake makubwa kwenye soka ya kutwaa mataji, lakini kwake ishu...
Watu saba wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Kairuki kwa ajili ya matibabu baada ya lifti kuporomoka kutoka ghorofa ya 10 katika jengo la Millenium Tower lililopo Kijitony...
Rais wa Yanga Mhandisi, Hersi Said amesema kuna machagua matatu ya kiungo Feisal Salum maarufu kama Fei Toto ya kuendelea kusalia Yanga kuendelea kutumikia mkataba au kuondoka...
Wafanyabiashara wa mahindi kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania wameegesha magari yao mpakani mwa Zambia wakishinikiza mamlaka nchini kuzungumza na serikali ya nchi hiyo il...
Katika tetesi za hapa na pale kwenye michezo inadaiwa nyota wa Los Angeles Lakers anafikiria kustaafu baada ya timu yake kupoteza kwa michezo 4-0 dhidi ya Denver Nu...
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia ulinzi wa taarifa binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi wa kuwapiga faini ya trillion 3 kampini ya META baada ya k...
Mama mzazi wa marehemu Costa Titch aitupia lawama maabara ya kitaifa ya afya kwa kuchelewesha kutoa majibu ya vipimo kuhusu kifo cha mtoto wake akidai kwamba aliwekewa su...
Ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma (ODPP) kutoka nchini Kenya imezindua jukwaa la kidigitali ambapo wananchi wanaweza kuwasilisha malalamiko na kuomba ukaguzi wa kesi mta...
Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Afrika Kusini kiitwacho African National Congress (ANC), Fikile Mbalula ametaja sababu kubwa ya nchi hiyo uchumi kuwa mbaya ni kukatika kwa ...
Mwanamume mmoja kutoka nchini California aliefahamika kwa jina la Casey Rivara amefariki baada ya kugongwa na gari ambapo alionekana akisaidia bata kuvuka barabara muda mfupi ...