Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema asilimia 7 ya Watanzania wanaishi na ugonjwa wa figo huku akitoa rai kwa Wananchi kupima ugonjwa huo mara kwa mara ili kuepuka ...
Mwanamke mmoja kutoka Kenya amewalaghai watu akijifanya mlemavu na kuombaomba katika mji wa Malindi.
Ujanja wa mwanamke huyo ulifichuliwa na mvulana mdogo aliyemtaja na ombaom...
Mchekeshaji kutoka nchini China ambaye alifanya mzaha akilinganisha tabia ya mbwa wake na kauli mbiu ya kijeshi amekamatwa. Polisi mjini Beijing walisema kuwa wamefungua uchun...
Wanahabari kutoka nchini Tunisia wamefanya maandamano kupinga sheria dhidi ya ugaidi, wakiwa na mabango yenye jumbe tofauti wakidai sharia hiyo imetungwa ili kuvitisha v...
Ukisoma kichwa cha habari unaweza ukashtuka lakini ndio ukweli kwamba konda amekatisha uhai wa abiria wake aliyepungukiwa nauli huko nchini Kenya. Tukio hilo limetokea Jumata...
Mkuu wa utumishi wa umma kutoka nchini Kenya Felix Koskei ametoa uamuzi wa kuwasimamisha maafisa 27 kwa kuingiza sokoni sukari ilio haribika dhidi ya mdhibiti mkuu wa viwango....
Shirika la utabiri wa hali ya hewa la Umoja wa Mataifa,WMO limesema joto litaongezeka kwa kiwango kikubwa kutokana na mchanganyiko wa athari za joto la baharini na hewa zinazo...
Nyie nyie, ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, basi bwana bibi mmoja kutoka nchini Marekani alifahamika kwa jina la Dorothy Fidel akiwa na miaka 77, ameamua ku...
Nabii mmoja kutoka nchini Kenya, aliefahamika kwa jina la Joseph Otieno Chenge kutoka katika kanisa la Jerusalem Mowari lililopo Ruri, amekamatwa pamoja na washirika wak...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameipongeza Yanga kwa kutinga fainali ya CAFCC na kutangaza rasmi kuongeza dau la motisha ambapo sasa kila goli itakuwa ni shilingi m...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa leo Mei 18, 2023 majira ya asubuhi imetokea ajali katika makutano ya reli na barabara eneo la Kamata iliyohusisha Gari la a...
Chama cha madaktari kutoka nchini nigeria (nard) imeanza mgomo unaohusisha madaktari wa hospitali za serikali kutokana na mamlaka kutotimiza mahitaji yao ikiwemo maboresho ya ...
Watu wenye silaha kali nchini Nigeria wameshambulia msafara wa magari ya Marekani siku ya jana jumanne katika jimbo la kusini mashariki mwa nchi hiyo eneo la Anambra.
Po...
Serikali ya Canada imekanusha ripoti kuwa Wakenya sasa wanaweza kusafiri hadi nchini humo kutafuta nafasi za kazi.
Haya yanajiri kufuatia tangazo la Waziri wa Mambo ya Nje wa ...