Watu tisa wamefariki na wengine zaidi ya 80 kulazwa hospitalini kutokana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kaunti ya Marsabit kaskazini mwa Kenya.
Msimamizi wa eneo hi...
Hahahaha! Kivumbi leo bwana msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy amefunguka na kuweka wazi tofauti yake na msanii mwenzie Wizkid kwenye game ya muz...
Taharuki imezuka nchini Uingereza baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na DNA tatu kutoka kwa wazazi watatu, madaktari waligundua hilo kutokana na utaratibu uliofanyika ili kuzui...
Mkurugenzi mkuu wa baraza la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka ameeleza kuwa uamuzi wakufungua baadhi ya baa ambazo zilizo fungwa siku cha...
Jackson Mali mfanyabiashara kutoka mkoani Songwe amefikishwa mahakamani akidaiwa kuwasilisha nyaraka za uongo TRA, kwa kujihamishia umiliki wa magari kinyume cha sheria.
Pia a...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametanga kuwa serikali inaongeza mishahara ya wafanyakazi wake kwa asilimia 45, na hii ni siku tano kabla ya uchaguzi mkuu.
Kura za maoni ...
Mtu mmoja aliefahamika kwa jina la Mussa Pwele mkazi wa mkoa wa Mbeya mwenye umri wa miaka 47 anadaiwa kummbaka mtoto wake wa mzaa.
Imeelezwa kuwa alifanya tukio hilo kwa kump...
Jopo la majaji katika kesi ya madai likuta Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump na hatia ya kumnyanyasa kingono mwandishi wa jarida katika duka moja kuu la New York miaka y...
Mahakama kuu nchini Malawi imeamuru mamlaka ya elimu kuwapokea wanafunzi waliosokota rasta katika shule za umma kote nchini.
Mahakama hiyo, iliyoko mashariki mwa jiji la Zomba...
Binti mmoja aliefahamika kwa jina la Fatima Aliyu mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaskazini mwa Nigeria amemshtaki baba yake kwa kumlazimisha kuolewa na mtu asiyemfahamu, ripot...
Rais wa Marekani, Joe Biden, ameagiza wizara ya uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazo yalazimu mashirika yote ya ndege kugharamia chakula na malazi ikiwa kwa uchelewaji au ug...
Kufatiwa na uamuzi uliotolewa na Mahakama ya hakimu mkazi Njombe dhidi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini kulipa fidia ya shingi milioni70 b...
Mahakama kutoka nchini Iran ilitangaza hukumu ya kunyongwa dhidi ya wanaume wawili siku ya Jumatatu ambao walihukumiwa kifo kwa kuukashifu uislamu, watuhumiwa hao walita...