Amkeniii amkenii amkeeni mkafungue biashara hizo, kama tunavyojua bwana biashara ni asubuhi kuna wale wateja wanaokuja alfajiri wanaboa kidogo lakini ndo ujasiliamali wenyewe ...
Ndoa ya wanasiasa machachari, David Kafulila na Jesca Kishoa imevunjwa rasmi na Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirithi na Ndoa baada ya ndoa hiyo kushindwa kurekebishika...
Ripoti maalum kutoka Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza itafikiwa hivyo ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema, zaidi ya Watu Bilioni nne wataathirika. Aidh...
Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba Habib Mohammed Ali, amefariki wakati akiendelea na Matibab...
Aloooooweeeh! Aloootenaaa! Sijui tuseme wiki hii ni wiki ya mwamba La Pulga au Messi kuupiga mwingi kwa kuwazawadia wachezaji wake na benchi la ufundi kwa kuwapatia simu za ip...
Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga.
Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu ...
Maandamano yamezuka nchini Ugiriki kufuatia na ajali ya reli iliyosababisha vifo vya watu 43, huku wengi wakiiona kama ajali iliyokuwa ikisubiriwa kutokea.
Waandamanaji hao wa...
Treni mbili zimegongana kaskazini mwa Ugiriki na kupoteza maisha ya takriban watu 26 na makumi ya watu kujeruhiwa, Treni hiyo inayosemekana kuwa na abiria 350 ambapo iligonga ...
Beki wa kati wa klabu ya Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli alifaniki...
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata mkubwa nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka...
Boss wa Makampuni ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk amerudi tena kuwa Tajiri namba moja Duniani baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana baada ya ku...
Rais wa zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko yanayoendelea kuhusu kutokuwepo uwazi kwenye Matokeo ya Kura zilizopigwa ikiwa ni pa...
Vyama vya Upinzani vya PDP na Labor Party Nchini Nigeria vimesusia mchakato wa Utangazaji Matokeo kwa madai kuwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeonesha kuwepo kwa uchakachuaji...
Chama kikuu cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) na Labour Party vimedai hakuna uwazi katika mfumo mpya wa kielektroniki wa wapiga kura.
Vyama vya upinzani vimetoka...