Katika taarifa nyingine ya kusikitisha na kushangaza kijana mmoja alie tambulika kwa majina David Riston mwenye wa miaka 49 aliyekuwa amewafuga takribani ya nyoka 100 amepatik...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani R.Kelly ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono, wiki iliyopita amehamishwa gereza kutoka C...
Rais wa Marekani Joel Biden ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti uliofanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya wananchi hawataki rais h...
Ni siku chache tuu tangu star wa bongo movie Wema Sepetu kuweka ahadi ya kusimama na binti wa kike wa kitanzania akipambania changamoto zao zinazowakwamisha kwenye kuji...
Kundi kubwa la mbuzi wakorofi wenye tabia ya kuzurura katikati ya mji nchini Uingereza wameachiliwa huru baada ya kushinda kesi ya uzururaji.
Mbuzi hao wa ‘Kashmir&rsquo...
Duuuuuuh! Wakati wengine wakifurahikia ndoa za mitala wenginge huku kwao ni changamoto basi bwana mwanahabari Maynard Manyowa kutoka nchini Kenya amefunguka na kueleza kuwa an...
Kijana mmoja kutoka nchini Kenya mwenye umri wa miaka 19, aliefahamika kwa jina la Joel Kimurgor anadaiwa kuiba nguo za ndani za wanawake katika kijiji cha Tegeyat kaunti ya N...
Kama tunavyojua chipsi ni moja ya vyakula maarufu, vinavyopatikana fastafasta na vinavyopendelewa Zaidi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania lakini habari mpya na m...
Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa mchungaji Paul Mackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili y...
Rais William Ruto amesema wananchi wote nchini humo wanao wafanyakazi serikalini kuanzia sasa watakuwa wakichangia asilimia 3 ya mapato yao kwenye mfuko wa ujenzi wa nyumba za...
Amina Rashidi mwenye umri wa miaka 25, mkazi wa Kijiji cha Mwabuki wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu, amabe amedai kuwa mtoto wake mchanga amefariki dunia na kugeuka kuwa j...
Polisi kutoka nchini Kenya wamepata miili 21 ya waumini wa kanisa la Good News International Church linaloongozwa na mchungaji Paul Mackenzie, ambaye anashikiliwa na polisi kw...
Hahahhaha! Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, ukisema ushawahi kuona kila kitu sasa mimi nakwambia kuna vitu bado haujavishuhudia kabisa katika hii dunia.
Bas...
Niaje mwanetu!! I hope uko byee na haka ka weekend kaliko changenyika na sikukuu basi mpaka raha lakini tupo kukujuza kila kitu hata ambacho ulikuwa unakisikia basi sisi tuna ...