19
Binti afariki akiwa anajiandaa na mazishi ya baba yake
Kufatiwa na mwanamke ambaye mbae jina lake halikufahamika wakati apokuwa anajiandaa kumzika mumewe katika eneo la Mukumu nchini Kenya alipata pigo lingine kubwa baada ya binti...
19
Mtoto wa siku 4 akutwa kwenye shimo la choo
Mtoto mchanga aliyetupwa kwenye choo cha shimo na mtu asiyejulikana huko Kisii nchini Kenya alikuwa akilia sana nakupelekea umma kujua huyo mtoto analia kuotokea wapi. Kulinga...
19
Lulu amjibu Mange Kimambi
Baada dada wa Taifa Mange  kuandika habari katika app yake kuwa Elizabeth Michael maarufu kama Lulu  kuwa ni muathirika wa HIV  Muigizaji huyo wa...
19
Neymar na mpenzi wake watarajia kupata mtoto
Ooooooh! Kama tunavyojua bwana tumeambiwa tuje tuzaliana na tuijaze dunia basi bwana unaambiwa star wa timu ya Brazil na klabu ya Psg Neymar pamoja na mpenzi wake Bruna Bianca...
18
Mwamnyeto: Tutalipa kisasi katika kombe la ASFC
Aloooooooh! Baada ya kulala hoi weekend hii kwa kichapo cha bao mbili mtungi, wananchi wameibuka tena na kusema kuwa wanaamini watalipiza kisasi katika kombe la Azam sport fed...
18
Omondi aitaka serikali ya Kenya kuwajali wananchi wake
Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amewalipia billi akina mama wa tano waliokuwa kidaiwa katika hospitali waliojifungulia, baada ya kujua kuwa baadhi yao walikuwa na madeni ...
18
Rais Samia atoa pongezi kwa Geay
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza mwanariadha kutoka Tanzania, Gabriel Gerald Geay kwa kushika nafasi ya pili kwenye mbio za Boston...
17
Apiga magoti masaa 21 kumuomba msamaha ex wake
Mwanaume mmoja kutoka nchini China ambae hakufahamika jina lake, picha  zake zimesambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amepiga magoti kwenye mvua nje ya ofisi ya ex wake a...
17
Nick Cannon asahau jina la mtoto wake wa 12
Rapa na mtangazaji Nick Cannon moja ya mastar wenye watoto wengi zaidi na mama tofauti, Cannon ambae ana watoto 12 wa mama tofauti kupitia moja ya mahojiano yake alisahau jina...
17
Watu 50 wauwawa katika mapigano nchini Sudani
Kufatiwa na machafuko kati ya Jeshi na kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) huko nchini Sudani yamekuwa ya kiendelea takribani siku ya 3 mfululizo zaidi ikiwa kat...
16
Biashara ya matunda ilivyo na faida msimu huu
Ooooooh! Kama tunavyojua bwana mwezi huu  ni mwezi wa kufanya diet bwana, nimechunguza nikagundua kuwa watu wengi hupendelea kula matunda ili wasichoke sana wakati wa mfu...
16
Mafanikio ya Sadio Mane katika soka
It’s furahidayyyyyy! Nyie ama kweli siku hazigandi, ramadhani ndo hiyooo inaenda kuishia zake, basi bwana leo katika segment yetu ya burudani na mishezo tumekusogezea mw...
16
Goodluck Ligogodor: Aeleza kuhusu changamoto wanazokumbana nazo viongozi chuoni
Heyyyh! Vipi chuo kinapanda pande hizo au ndo tia maji tia maji, oky tuachane na hayo, kama kawaida yetu katika segmenti ya unicor...
15
Hivi unajua tabia yako ipo kwenye kundi lako la damu ( part 2)
Aloweee!! Leo ni wikend nyingine kabisa tukimalizi malizia mwezi mtukutufu wa ramdhani I hope uko sawa ramadhani inaenda barabara kabisaa, kama kawaida wafuatiliaji wetu wa af...

Latest Post