Na Asha Charles
Alooo weeeeee!! Its frieday na ramadhani ndo hiyooo kama inaanza kututupa mkono hivi, sasa basi kwenye segment yetu ya burudani na michezo leo tumekusogezea mc...
Na Aisha Charles
Weeeeh! It’s furahidayyyyy! Kama mnavyojua afya ndo jambo la muhimu na msingi sana katika mwili wa mwanadamu, hivyo basi hatuna budi kukusogezea mawili ...
Na Asha Charles Hellow niaje watu wangu wa nguvu!!! I hope mko salamaa kama unavyo jua mchaka mchaka wakulisongesha jambo la fashion bado unaendelea yaani siwezi kuliacha nish...
I hope mko pouwa wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop, sasa leo bwana katika biashara tutakujuza mambo mbalimbali kuhusiana na biashara ambazo zinalipa zaidi kwa mwaka huu.
K...
Na Asha Charles
Alooooo! Tuzo za TMA zimezua balaa kwa baadhi ya wasanii kutoa mapovu kutokutajwa katika listi ya tuzo hizo ambapo mmojawapo akiwa ni msanii kutoka lebo ya WCB...
Na Asha CharlesStaa wa muziki wa Taarabu nchini, Khadija Kopa amefunguka na kuwataka wasanii wenzake waweze kujikita katika shughuli za kijamii.
Akizungumza na moja ya chombo ...
Eeebwanaaeeeh! Kama wahenga wasemavyo kuwa siku zote damu ya mtu nzito, basi bwana wanaume watatu wamehukumiwa kifungo cha maisha jela siku ya jana alhamisi kufuatia mauaji ya...
Hellow! Niaje mtu wangu wa nguvu, leo kwenye mahusiano bwana nakusogezea mada moja konki ambayo itakupa uelewa kuhusiana na maswala mazima ya upendo katika mahusiano. Najua nt...
Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema amekuwa akilazimishwa kuondoka nchini humo. Licha ya k...
Na Asha Charles
Ooooooh!! Hivi ulishawahi jiuliza kamba kuna sehemu wanaweza kuhifadhi ubongo wa binadamu ambao hawapo tena duniani, ila wazungu huko walipo fikiaa sio pouwa k...
Weeeeeeh! Huku wengine wakiwa wanaenda kuondoa makalio na lips za bandia walizoweka lakini kwa Mrembo Hamisa Mobeto ameweka wazi mpango wake wa kufanya upasuaji "Sur...
Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imesema ina nia ya kupeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya ndoa ya mwaka1971 katika Bunge hili la Bajeti linaloendelea, ili kuw...
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema anatazamia kustaafu na kukabidhi madaraka baada ya miaka 23 madarakani.
Akizungumza katika kikao na waandishi wa habari pamoja na rais wa Ke...