Mbunge kutoka nchini Kenya, Kullow Hassan Maalim, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya pikipiki iliyomgonga na kukimbia, ...
Antony Joshua, bondia kutoka nchini Uingereza anayetarajia kuzichapa na Jermaine Franklin, Aprili 1, 2023 ndani ya O2 Arena, jijini London ametoa kauli hiyo baada ya kuwa na m...
Watu 39 wamefariki katika ajali ya moto, katika kituo cha wahamiaji nchini Mexico. Tukio hilo limetokea katika mji wa Ciudad Juarez, ambapo idadi ya waliojeruhiwa ni 29, huku ...
Kufuatia mauaji ya rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kierman Forbes maarufu kama AKA, wanaume watatu wameripotiwa kukamatwa kuhusiana na mauaji yaliyotokea February ...
Chuo Kikuu cha St. Augustine kimebatilisha Shahada ilizotoa kwa madaktari wa afya 162 waliohitimu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha St. Francis (SFUCHAS), kua...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, ametoa Spotify playlist yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali, alizozipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanz...
Watu sita wauliwa, watatu wakiwa watoto na watatu wakiwa ni wafanyakazi kwa kupigwa risasi na mwanafunzi wa zamani katika shule moja katika mji wa Nashville, Marekani.
Watatu ...
Mark LewisTendo la ndoa ni hali ya kukutana kimwili kati ya mwanaume na mwanamke. Tendo la ndoa ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika ...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwanafa amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali itahakikisha kuwa inapaza sauti kuh...
Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24. Mgomo huo u...
Shirika la Reli nchini Kenya limesitisha shughuli zake zote za treni ya abiria katika mji mkuu wa Nairobi, kabla ya maandamano ya kupinga serikali Jumatatu hii yaliyoitishwa n...
Baada ya tetesi kadhaa kupitia mitandao ya kijamii, hatimaye pande zote mbili zimeafikiana kuvunja mkataba na kocha mkuu Antonio Conte, na timu itakuwa chini ya uangalizi wa k...
Hellow!! Its another day, kama kawa kama dawa kwenye kipengele chetu pendwa kabisa cha masuala ya fashion hapa ndiyo sehemu ya pekee ya kujidai kwa wote wanaopenda urembo...