Na Asha Charles
Nyie nyie!! Usiseme hatuna hela sema sina hela, basi bwana mwanadada Florence Ifeoluwa Otedola maarufu kama DJCUPPY kutoka nchini Nigeria ametangaza kuch...
Mgahawa maarufu wa Wish unaopatikana huko Durban katika barabara ya Florida, nchini Afrika kusini umetangazwa kufungwa moja kwa moja Jumatatu ya April 10, 2023. Haya yan...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia leo tarehe 4 April 2023, jumla ya waliougua ugonjwa wa Marburg Wilaya ya Bukoba vijijini, Kagera ni nane na kati yao wat...
Na Asha Charles
Takriban watu 30 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria kuacha njia magharibi mwa Uholanzi iliotokea siku ya jumanne.
Huduma za dharura zinasema ajali hiyo ilio...
Serikali kutoka nchini Australia mbioni kupiga marufuku matuminzi ya TikTok katika vifaa vya Serikali na itachukua hatua hiyo kwasababu za kiusalama ikiungana na Marekani, Can...
Ooooooooh! Ama kweli kuishi kwingi ndo kuona mengi, na siku zote tuliambiwa kuwa uyaone sio maghorofa ni mambo kama haya basi bwana leo katika uniqure story tunakusogezea mwan...
Ahoooohweeeeh! Haya haya mji ushaanza kuchangamka uko, mambo yameshakuwa mengi muda mchache, basi bwana baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu na watu kuwa na shauku ya kumuon...
Mwanadada Makhosazane Twala maarufu kama Khosi Twala mwenye umri wa miaka 25 raia kutoka nchini afrika kusini (South Afrika) ameibuka mshindi wa shindano la Big Brother Titans...
Na Asha CharlesShule ya Sekondari ya wasichana ya Mukumu nchini Kenya imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi wawili kufariki dunia na wengine takribani 500 kuugua ...
Hahahah! Make hapa kwanza nchekee, aliesema ukistaajabu ya Mussa utayaona ya firauni wala hakukosea, basi bwana Matthew Checko mwenye umri wa miaka 47 ameiba ambulance iliombe...
Chama tawala nchini Rwanda, Rwandan Patriotic Front (RPF-Inkotanyi), jana jumapili kilimchagua mwanamke wake wa kwanza kuwa makamu mwenyekiti huku Rais Paul Kagame akishikilia...
Madaktari kutoka nchini Kenya wamewataka wananchi kuwa waangalifu kufuatia kugunduliwa kwa aina mbili mpya za magonjwa ya zinaa (STIs).
Wanasayansi katika Taasisi ya Utafiti w...
Waandishi wawili wa habari wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa wamefukuzwa kufuatiwa na mwenendo wa kuharibika kwa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo mawili. Waand...
Oooohyeeah! Muko pouwa watu wangu wanguvu, yaani kama kawaida yetu hatunaga mbambamba katika kuelimisha kwenye swala zima la mahusiano na ndoa sasa leo tumekuja na mada ambayo...