31
R.Kelly na uwezekano wa kubaki gerezani
Muimbaji maarufu nchini Marekani R. Kelly anauwezekano wa kutotoka gerezani kwa mujibu wa Wakili wa Jimbo la Cook Kim Foxx aliwaambia waandishi wa habari kwamba ofisi yake ina...
31
Mahakama: bila kuona hamtambuliki kama wanandoa
Mahakama ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba wenzi wanaoishi pamoja bila nia ya kufunga Ndoa hawawezi kutambulika kama Wanandoa moja kwa moja hadi wafunge Ndoa kwa hiari yao we...
30
Elba huenda akafungua studio Tz
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikutana na Idris Elba na Mkewe Sabrina ambao wao katika Uwekezaji wanataka kuja kuwekeza kuanzisha stud...
30
Boris: Putin alitishia kuniua
 Taarifa kutoka Uingereza ambapo aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amefichua kwamba Rais wa Urusi, Vladmir Putin alitishia kumuua endapo angeendelea na mp...
30
Utafiti unaeleza kuwa mwanaume hutumia masaa 7 chooni kwa mwaka
Wooooiiiih! Make hapa kwanza ncheke bwana bwaana, kwa mujibu wa tafiti mbalimbali unaonyesha kuwa wanaume hutumia masaa 7 kwa mwaka kukaa chooni kwa ajili ya kutafuta amani na...
30
Mwanamke mkoani Geita ajifungua katika kituo cha basi
Mwanamke mmoja mkoani Kigoma ambae ambaye jina hakuweza kufahamika, aliekuwa akitokea Geita mjini akielekea Kasuru amelazimika kukatisha safari yake mara baada ya kupata ...
30
Mangungu ashinda uenyekiti Simba
Taarifa tulizonazo kwa sasa kuhusiana na uchaguzi mkuu kwenye klabu ya simba ni hizi hapa ambapo Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi huo kwa kupata kura 1,311 akimshin...
30
Muimbaji Marc Anthony afunga ndoa mara ya nne
Muimbaji na muigizaji maarufu nchini Marekani, Marc Antony amefunga ndoa na mwanamitindo Nadia Ferreira, ambaye aliiwakilisha nchi ya Paraguay kwenye Miss Universe ya mwa...
27
Aamrishwa kumlipa mpenzi wake kwa kumuumiza moyo
Mwanamke mmoja nchini Uganda aliyefahamika kwa jina la Fortunate Kyarikunda ambaye aliuumiza moyo wa mchumba wake Richard Timwine ameamrishwa na mahakama kulipia hasara za kif...
27
Mfadhili wa kundi la Islamic state auwawa
Taarifa rasmi kutoka katika Serikali ya Marekani  imesema kuwa  Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua Bilali Sudani  ambaye ni Kiongozi wa Kikanda wa ISI...
29
ANDRES VALENCIA: Mtoto anayetengeneza mtonyo kupitia uchoraji
Mambo, niaje wadau wa michezo na burudani? Wiki hii bwana nimekusogezea mchongo huu hapa ambapo nakukutanisha na mtoto mdogo sana ambaye ana kipaji cha sanaa ya uchoraji. Mtot...
29
Saratani ya shingo ya kizazi
Mambo vipi msomaji wa jarida lako pendwa la Mwananchi Scoop? Leo makala yetu inazungumzia saratani ya shingo ya kizazi ikiwa ni mwezi Januari, mwezi ambao shirika la afya duni...
29
Mambo ya kufanya kupunguza migogoro kazini
Masuala kadhaa yanaweza kusababisha migogoro ya mahali pa kazi, ikiwa ni pamoja na migongano ya kibinafsi, mapambano ya mamlaka, mizozo juu ya rasilimali na sera za kampuni zi...
27
Kenya yaweka agizo la kuwa na sehemu moja ya starehe kila mji
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa amri kwa viongozi wa serikali za mitaa nchini humo kutekeleza agizo la kuwa na sehemu ya starehe (bar) moja kwa kila mji. Rigathi ...

Latest Post