Mgombea wa kiti cha useneta Oyibo Chukwu kutoka nchini Nigeria ameuawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuchomwa moto na washambuliaji, alipokuwa akitoka kwenye mkutano ...
Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia wamependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze ...
Taarifa kutoka nchini Kenya ambapo Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais William Ruto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa B...
Taarifa kutoka nchini Nigeria ambapo mke wa Rais nchini humo, Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za Uongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Face...
Kampuni ya teknolojia ya mawasiliano imeweka programu ya software inayowakumbusha waajiriwa kuondoka kazini kwa muda uliopangwa.
Tanvi Khandelwal, mwenye umri wa miaka 21, ali...
Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden anatarajiwa kufanya Ziara nchini Namibia na Kenya siku ya Jumatano anapoanza ziara yake ya siku tano barani Afrika.
Ikulu ya White House ili...
Bunge la Kenya limetaka uchunguzi ufanyike kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye mashamba ya chai
Ilibainika kuwa zaidi ya wanawake 70 walikuwa wamenyanyaswa na ...
Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kimbunga cha kitropiki kukumba pwani ya mashariki ya Madagascar, huku mvua kubwa ikiambatana na upepo mkali kuangusha mapaa ya nyumba na kus...
Mwanamuziki maarufu nchini Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa Ufaransa.
Saad anayeimba muziki...
Wanajeshi wasiopungua 51 wa Burkina Faso wameuwawa katika shambulizi la kustukiza lililotokea eneo la kaskazini mwa nchi hiyo linalofahamika kwa hujuma kubwa za makundi ya iti...
Taarifa kutoka mkoani Morogoro ambapo uamuzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni dhidi ya Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), SSP Shedrack Kigoman...
Matetemeko ya ukubwa wa 6.4 na 5.8 yalipiga kusini mashariki karibu na mpaka na Syria, ambapo matetemeko hayo yaliharibu nchi zote mbili mnamo 6 Februari.
Kwa mara nyingine te...
Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Kyiv ikiwa ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia karibu mwaka mmoja uliopita. Aidha Safari hiyo ya siri ya Biden k...