Staa wa muziki wa nchini Uingereza Ed Sheeran ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili ya wimbo wake maarufu wenye zaidi ya views bilioni 3.5 kwenye Youtube “Thinking O...
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la katoliki nchini Ufaransa Papa Francis amechukua uamuzi wa kumtimua Padri Wenceslas Munyeshyaka mzaliwa wa Rwanda ambaye alikuwa akitumikia kanisa hi...
Mke wa Rais wa zamani wa Marekani Michelle Obama ametangaza na kuzindua kampuni yake ya vyakula na vinywaji vyenye afya ambayo ameianzisha ili kuwapa wazazi bidhaa bora na zen...
Polisi kutoka nchini Ubelgiji, wamewakamata takribani watu saba siku ya alhamisi wanaoshukiwa kulisaidia kundi la Islamic State, na njama ya shambulizi la kigaidi kwa mujibu w...
Hahahahahhaha! Make hapa kwanza ncheke, hivi majirani zetu wanaweza kuvumilia hili maana sio powa, basi bwana unaambiwa mawigi, kope bandia vyapandishwa kodi.
Hazina ya kitaif...
Ndoa 51 zimefungwa kwa wakati mmoja katika kanisa katoliki Parokia ya moyo safi bikira Maria, Ungalimited Jijini Arusha ikiwa ni matunda ya hamasa iliyofanywa na kanisa hilo k...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekanusha kuwa nchi yake haikufanya shambulio linalodaiwa kuwa ni la ndege isiyokuwa na rubani dhidi ya Kremlin, ambapo Urusi inasema lilik...
Mtoto wa Kike wa Aliekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bona Ouma Mugabe katika madai ya talaka ametaka kupatiwa hela ya matumizi ya watoto Milioni 6.3 kwa watoto...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imeruhusu mabasi ya mikoani yaanze safari saa tisa usiku ambapo imeagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wafik...
Mdhibiti mkuu wa taarifa binafsi na faragha nchini Marekani ameishutumu kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kutoweka udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwa...
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia Biden Ajay Banga siku ya jumatano kuwa ni kiongozi mwanamageuzi
Rais ambaye atajumuisha mabadiliko ya ha...
Muigizaji kutoka nchini Marekani Jamie Foxx ameripotiwa kwamba bado amelazwa Hospitali huko mjini Georgia. vyanzo vya karibu na Jamie vimesema kuwa kwasasa muigizaji huyo...
Ebanaeee!! haya mambo ya upasuaji kwadhumuni la kubadilisha muonekano itawatoa watu roho sasa, bhana muigizaji wa filamu kutoka bollywood nchini India Priyanka Chopra amefungu...
Shirika la habari la serikali nchini Rwanda limeripoti kwamba watu 109 wamefariki kutokana na maporomoko ya ardhi huko Mahgaribi na Kaskazini mwa Rwanda.
Maporomoko hayo ni ku...