Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal, Mikel Arteta ameomba radhi mashabiki wa klabu hiyo baada ya kupata kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Brighton siku ya jana jumapili na ...
Ooooiii! Wiki ni kama imeanza kibabe hivi, wacha tuulizane kidogo hivi ulishawahi kutana na mwamba kuwa na mpenzi mmoja kwake ni mtihani na hawezi labda kutokana na muonekano ...
Katika taarifa yake jana Jumapili, Mkurugenzi Mkuu wa EPRA Daniel Bargoria alisema kuwa ongezeko hilo limechangiwa na wastani wa gharama ya bidhaa za petroli iliyosafishwa kut...
Oooooh! Amkeni amkeni wanangu wa mavyuoni basi bwana kuna wale wavivu kuamka asubuhi kwenda kuwahi lecture huwa wengi wetu tunakimbilia kusoma katika mitandao, sasa tumekusoge...
Niaje wanetu sana naeleweka mko njema sana tunakutana tena this weekend kukujuza za ndani kabisa hasa katika segment hii ya kazi, binafsi mimi napendaga fursa bila shaka hata ...
Alooo weeeee!! Guyz natumai ni wazima wa afya, kama kawaida yetu hatunaga mba mba mba yaani moja kati ya vitu ambavyo najua/naamini kila mtu anapenda kuwa na muonekano mzuri&n...
Na Shufaa Nassor
Hellow!!! I hope mko pouwaah, mimi kila siku niko hapa kuelekezana kuhusiana na maswala mazima ya Afya hususani ya wanawake, maana wengi wenu mnanitambua kama...
Hellow!!! Niaje niaje wafanya biashara ya wajasiriamali ni matumaini yangu mko powa kabisa bwana kama ilivyo ada lazima kila wiki tukutane hapa kujuzana machache kuhusiana na ...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi kuwakamata askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wanaotuhumiwa kuwapiga, kuwajeruhi, kuw...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe (69) amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 12, 2023 katika Hospitali ya Kairuki, Mikoche...
Duh! Embu tukae chini na tusikitike kidogo, nyie nyie kumbe watu wana stori nzito kama hizi ni vile tu hatujakaa nao vizuri. Basi bwana kama kawaida yetu kila siku tunakusogez...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani aliefahamika kwa jina la White Boy Rick maarufu kama Wershe ameshikiliwa na Polisi, baada ya kumshushia kipigo mpenzi wake wakati w...
Hellow! Kama kawaida yetu Mwanachi Scoop huwa hatunaga jambo dogo, basi bwana kumekuwa na sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya msanii Mavokali kushare video katika ...