Wauguzi wanne kutoka mkoani Tabora wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa kosa la kuchukua viungo vya watoto mapacha huku kitendo hicho kinahusishwa na uchawi.
Afisa wa mkoa a...
Waswahili bwana hawakukoseaga walivyosema mkiachana muachane kwa wema ili hapo baadae msije kutoleana maneno mabaya mkawafaidisha waja, basi bwana vita nzito ya kutupiana mane...
Muimbaji maarufu kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibua msala mpya ambao unaweza kumletea hatari kubwa ya kumpeleka jela, kwani ameripotiwa kwamba endapo atarudi tena Uing...
Takribani watu 12 wamefariki dunia nchini El Salvador baada ya uwanja wa michezo wa Cuscatlan kuporomoka.
Tukio hilo lilitokea wakati wa mechi ya Alianza na Santa Ana ya Fas s...
Idara ya afya jimbo la Gauteng kutoka nchini Afrika Kusini siku ya jana Jumapili ilitangaza visa vipya 19 vya Kipindupindu ikiwa ni pamoja na vifo 10, katika mji wa Hamman-skr...
Serikali ya kijiji cha Sunukwa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma imeshirikiana na wananchi wa kijiji hicho kwa kuchukua waganga wa jadi zaidi ya 10 kutoka mkoa wa Sumbawanga kwa ...
Nyota kutoka klabu ya Real Madrid Vinicius Jr amesema hayo baada ya mashabiki kumtolea kauli za kibaguzi wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia &n...
Mambo vip!! Mtu wangu wanguvu ni weekend tena tunakutana hapa hapa Mwananchi ili tuweze kujuzana machache kuhusiana na maswala mazima ya kazi.
Leo katika segment ya kazi tumek...
Whats good, whats good wanangu wa faida, Kama kawaida haina kupoa wala kuboa. Kwenye segment yetu ya UniCorner, tunakusogezea story zinahusu maisha ya vyuoni ili kuweza kujifu...
Duh! Another weekend!! kama kawaida katika michezo hatuna muda wa kupoteza mapema tunakusogezea yaliojiri katika burudani na michezo na kama kawaida yetu tunakupa zile za uvun...
Na Shufaa NassorWanawake wengi wana tatizo la kukosa hedhi!
Kukosa hedhi au kubadilika kwa mzunguko wa hedhi inaweza kuwa tatizo kubwa kulitatua. Kwasababu hedhi ndio kiashiri...
Mambo zenu guyz I hope mko powa kabisa, sasa kama kawaida yetu mwenzo ni ule ule katika segment yetu ya biashara, ni kupeana madeal tuu kuhusiana na ujasiriamali.
Bwana kuna k...
Hellow!!it’s furahidayy, haya sasa kwa mara nyingine tena tunakutana this weekend huku mambo mengine ya kiendelea na sisi team Scoop hatuja poa tunaendelea kukupasha yal...
Baada ya kufungia Kumbi (bar) kadhaa za burudani Nchini kutokana na uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linat...