28
Swaum Mkumbi: aeleza kuhusu maisha halisi ya chuo cha NIT
Oooooooh!!! watu wangu wa nguvu mwendo ni ule ule yaani tunaanza tulipo ishia hatunaga mba mba mba katika hili leo katika segment yetu ya unicorner, moja kwa moja tumetua kati...
27
Madhara ya kutumia muda mwingi kufanya mambo yasiofaa kazini
Mamboz!! Once again tunakutana on this weekend wanetu wa faida kwenye hii sgment yetu ya maswala ya kazi, hapa tunawekana sawa kuhusiana na mambo mbalimbali ya kazi. Wiki ilio...
27
Vyakula vya kuzingatia ukifikisha miaka 40 na zaidi
Wanasemaga uzee mwisho Chalinze mjini kila mtu kijana, sasa bwana kama unahitaji kuendelea kuwa kijana ungana nasi ili uweze kupata elimu kuhusiana na vyakula gani vitakufanya...
27
Historia ya hilda Baci mpishi alievunja rekodi ya dunia
Amkenii!!! Team Scoop inatambua uwepo wenu wanetu wa faida na ndio maana kila weekend lazima tuwe tuna jambo na nyie wakurungwa tena katika segemeti hii ya michezo na burudani...
26
Mshtakiwa wa mauaji ya kimbari afikishwa mahakamani
Mmoja wa washtakiwa wa mwisho waliokuwa wanasakwa kwa kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari Fulgence Kayishema, mwaka 1994 nchini Rwanda, amefikishwa mahakamani mjini Cape To...
26
FDA yatoa kibali kuanzisha majaribio ya kupandikiza ubongo bandia
Kampuni ya Neuralink inayomilikiwa na bilionea Elon Musk imepata kibali cha mamlaka ya chakula na dawa nchini Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa binadamu baada ya ku...
26
Wamiliki wa kumbi za starehe waandamana.
Wamiliki wa baa na kumbi za starehe mkoani Mwanza wameandamana kwa kufungiwa sehemu hizo za starehe. Maandamano yamefanyika kuelekea ofisi ya mkuu wa mkoa huo Amos Makalla amb...
26
Akataa kutumbuiza kwenye uapisho wa rais Tinubu
Mwimbaji kutoka nchini Nigeria, Tochukwu Ojogwu maarufu kama Odumodublvck amekataa mwaliko wa kutumbuiza kwenye shughuli ya uapisho wa Rais mteule wa Taifa hilo, Bola Ahmed Ti...
26
Tyrese: Ex wangu alifata pesa na umaarufu
Aloo!! Kumbe utapeli katika mapenzi bado tatizo kubwa, sasa bwana muigizaji kutoka nchini Marekani Tyrese Gibson kupitia ukurasa wake wa Instagram alisema kuwa amekuja kugundu...
26
Dada wa kazi amshtaki bosi kwa kutomlipa mshahara miaka 5
Msichana wa kazi za ndani (house girl) aliefahamika kwa jina la Zuhura Ramadhani mwenye umri wa miaka 30, amemshtaki bosi wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali ya Mtaa ya ...
25
Pogba na mkewe wapata mtoto
Kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba amewapiga mashabiki zake na kitu kizito baada ya kutumia ukurasa wake wa Instagram kutujuza taarifa njema za kumpata mtoto wa...
25
Mwanasaikolojia aeleza athari malezi na urafiki uliopitiliza wa Kajala na Paula
Amaa! Kweli siku zote mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, ni maneno tuu ya Waswahili katika harakati zao za kukifanya Kiswahili kiweze ...
25
Wanafunzi 50 wafukuzwa chuo kwa udukuzi wa malipo ya ada.
Chuo Kikuu mkoani Iringa (UoI) kimewafukuza wanafunzi zaidi ya 50 wa shahada ya teknolojia ya habari (IT) baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada ambapo ilionekana wamelipa, n...
25
DC aonya wanawake kutembelea wanaume wasio wajua.
Mkuu wa wilaya ya Njombe, Kissa Kasongwa ametoa rai kwa wanawake kupunguza ujasiri wa kwenda kwa wanaume bila kujua vizuri ni mtu waina gani. Ni baada ya Juma Msemwa  mwe...

Latest Post