12
10 wafariki katika ajali ya basi la harusi
Zaidi ya watu 10 wamefariki dunia na wengine 20 wamelazwa hospitalini baada ya basi la harusi kuanguka katika eneo la mvinyo nchini Australia. Abiria hao walikuwa wakirejea ku...
12
Ethiopia yakosoa UN kwa kusitisha msaada wa chakula
Baada ya shirika la chakula duniani la umoja wa mataifa (WFP) kusitisha sehemu ya msaada wa chakula nchini Ethiopia kutokana na wasiwasi kuwa misaada hiyo haiwafikii wahusika....
12
Al-Hilal yamuwinda Neymar
Baada ya kumkosa Messi klabu hiyo ya Saudi Arabia sasa inamuwinda mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG), Neymar aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa P...
11
Burna Boy aweka record nyingine UEFA
Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy ameweka record ya msanii wa kwanza Afrika kwenye fainal ya ligi ya mabingwa UEFA. Nyota huyo amewaburudisha ...
10
Mmiliki wa ndege ya precision Air afariki dunia
Mmiliki na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Ndege ya Precision Air, Michael Ngaleku Shirima amefariki dunia jana saa tatu usiku Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa...
10
Mayele: Mimi ndio nastahili kuwa mfungaji bora
Baada ya msimu wa Ligi kuu soka Tanzania bara 2022/2023 kumalizika huku Wachezaji Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibazonkiza wa Simba SC wakilingana magoli 17 katika mbio za...
09
Wanawake waonywa mikopo kausha damu
Katibu mtendaji wa baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa imewaasa wanawake mkoani Kilimanjaro kuachana na taasisi za mikopo maarufu kama &l...
09
Mjamzito achomwa kisu na mzazi mwenzie
Binti mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Dumila, wilaya ya kilosa mkoani Morogoro amejeruhiwa na mzazi mwenzake ikielezwa alimgomea kwenda kulala naye licha ya wawili hao kuwa w...
09
Benzema: Nimeamia Saudi Arabia kwasababu ni nchi ya kiislamu
Aliekuwa mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema sasa anasema  sababu ya yeye kujiunga na klabu ya Al Ittihad ni kwakua nchi hiyo imejaa idadi kubwa ya waislamu. Benze...
09
Ahmed Ally: Tukutane uwanja wa Uhuru tuagane
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi leo kwenye mechi ya kufungia msimu 2022/23 dhidi ya Coastal il...
09
Bei ya choo stendi ya mbezi luis yashuka
kumekuwa na Malalamiko mara kadhaa kuhusu bei kubwa ya huduma ya vyoo katika kituo cha daladala cha mbezi luis sasa tatizo hilo limepata suluhisho. Hivi karibuni bei imeshuka ...
09
Trump kufikishwa tena mahakamani
Aliye kuwa Rais nchini Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa mahakamani mjini Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za serikali. Aidha ...
08
Rappa Lanez jela miaka 13
Rapa kutoka nchini Canada Tory Lanez amekutwa na hatia ya mashtaka matatu ya uhalifu kwa kumpiga risasi Megan Thee Stallion, waendesha mashtaka wamependekeza kifungo cha miaka...
08
Japani yatoa mafunzo ya kucheka
Watu wengi nchini Japani wameanza kuchukua mafunzo ya jinsi ya kutabasamu upya baada yakuvaa mask (Barakoa) kwa muda mrefu. Raia hao wamekua wakizoea kuvaa mask kwa muda mrefu...

Latest Post