Tukio hilo limetokea Sanyajuu Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro ambapo mtu mmoja aliye fahamika kwa jina la Ben amefariki dunia na wengine wanne wamelazwa baada ya kunywa pomb...
Kufuatiwa na wimbi kubwa la malalamiko ya vikongwe kuhusu kulazimishwa kutoa urithi kwa watoto wao huko mkoani Shinyanga baadhi ya wazee wanadai kuwa wamekuwa wakitishiwa na w...
Cristiano Ronaldo amepokea Rekodi ya Dunia ya Guinness baada ya kuichezea Ureno mechi 200 za kimataifa.
Mshambulizi huyo mashuhuri alicheza mechi yake ya 200 akiwa na ‘S...
Mama mmoja kutoka nchini Kenya amepigwa na watoto wake waliopandwa na hasira walipoona amemuacha baba yao na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko...
Mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden mwenye umri wa miaka 53, siku ya jana Jumanne alifikia makubaliano na Idara ya Sheria kwa kukiri mashtaka matatu ya kukwepa kulipa kodi...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu za...
Klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia bado inaendelea kushusha vyuma na sasa imetangaza kumsajili kiungo N’Golo Kanté ambae ni raia wa Ufaransa kwa uhamisho huru ku...
Wakati lugha ya Kiswahili ikizidi kuvuka boda na kuleta mafanikio mazuri katika nchi mbalimbali kuweza kuruhusu lugha hiyo itumike kimataifa kama lugha ya Kingereza, huko nchi...
Mkali wa R&B kutoka nchini Marekani R.Kelly amwaga machozi, kwani kwenye sauti iliyodakwa na Rapa house tv akiweka wazi kwamba hapati huduma bora gerezani ikiwa ni baada y...
Mpishi aliejizorea umaarufu kutoka nchini Nigeria, Hilda Baci amepokea ubao wake siku chache baada ya kuthibitishwa kuwa anashikilia rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kupik...
Watafiti kutoka chuo Kikuu cha London wanaeleza kuwa kupata muda wa kulala kidogo mara kwa mara ni vizuri kwa ubongo wetu na husaidia kuuweka ubongo kuwa mkubwa kwa muda mrefu...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutumia vyeti visivyo vya kwao kwa kupata ajira au kuomba kitu Fulani ambacho kina uhitaji wa vyeti hali hii imetokea mkoani Bukoba.
Ambapo Mwa...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Blandina Fredi mkaazi wa kijiji cha Ilkrevi kata ya Olturoto, wilayani Arumeru mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni m...
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limewakumbusha kwa mara nyengine wadau wa mpira wa miguu kuwa ni kosa kushirikiana na watu ambao wamefungiwa kwa makosa mbalimbali ...