Mwandishi maarufu wa Ukraine, Victoria Amelina amefariki dunia leo Jumatatu kutokana na majeraha aliyopata kufuatia shambulio la kombora lililotokea Jumanne alipokuwa akipata ...
Mahakama ya rufaa nchini Iran imemhukumu kifungo cha miaka mitano mwanaharakati maarufu na mwandishi wa habari Golrokh Iraee ambaye amekuwa akizuiliwa tangu kukamatwa kwake mw...
Aloweee!! Leo ni weekend nyingine kabisa tukimalizi malizia mwezi, I hope uko sawa mtu wangu wa nguvu, kama unavyojua kazi ndio jambo la muhImu sana katika maisha ya sasa hivy...
Na Elizabeth Malaba
Saratani ya koo ni miongoni mwa magonjwa hatarishi na unaoshika kasi kuathiri watu na hata kusababisha kifo. Ingawa baadhi ya wagonjwa wa saratani ya koo w...
Hellow!! It’s another weekend nawasalimu kwa jina la burudani na burudani iendelee kama ilivyo kawaida yetu kukujuza wewe mwanetu mambo mbalimbali yanayo happen katika m...
Na Magreth Bavuma
Wanangu woyo woyo woyo, niaaaje hopefully mko swafi kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa a.k.a dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja ...
Hellow! Vipenzi vyangu kama kawaida yetu ni mwendo wa biashara tuu, vipi kwanza edi iliendaje pande hizo, basi mkala nyama zenu bila kunialika, ila hakuna shida tuendelee na k...
It’s furaidayyy!! I hope uko poa mwanangu sana kama kawaida sisi nia na dhumuni letu kukupasha yale yote unayoyasikia na unayo yajua kwa uchache katika uwanja wa fashion...
Shirika moja la kutetea haki za binadamu limeelezea wasiwasi wake kutokana na kuongezeka kwa utapiamlo kwenye kambi za wakimbizi kasakazini mwa nchi ya Kenya.
Moja ya chombo c...
Mwanasoka kutoka klabu ya Manchester City, Benjamin Mendy mwenye umri wa miaka 28 anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka msichana mmoja mwenye umri wa miaka 28 na kumwambia msichana ...
Maelfu ya watu nchini Ufaransa wameandamana kwenye kitongoji cha kifahari cha Paris Nanterre siku mbili baada ya Afisa wa Polisi kumpiga risasi Nahel M, kijana mwenye umri wa ...
Inasemekana kuwa Mtaarishaji wa Tamthlia iliojibebea umaarufu duniani kote ya Sqyid Game, Hwang Dong-hyuk ambayo ipo Netflix hapokei Mirabaha yake licha ya Filamu hiyo ku...
Mwanamitindo nchini Uingereza Naomi Campbell amepata mtoto wa pili akiwa na umri wa miaka 53, mrembo huyo ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa.
&...
Open AI na Microsoft zimeshtakiwa kwa makosa 15 ya kiwemo kutumia taarifa binafsi zinazoweza kumtambulisha mtu binafsi kwa mamilioni ya watumiaji wa Intaneti wakiwemo watoto b...