Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13, Zamada Jafari, Mwanafunzi wa darasa la nne katika Kijiji cha Ikengwa Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma amefariki dunia baada ya kujinyonga...
Mwanamuziki na Muigizaji maarufu Marekani, Madonna mwenye umri wa miaka 64 ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuwepo kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa siku kad...
Manaume mmoja aliefahamika kwa jila la Magesa Ngereja amekutwa na hatia ya kupokea hongo kwa lengo la kuuza ardhi ya kijiji cha Kahangaza, kitongoji cha Kanyamlima mkoani Kage...
Mwanamuziki kutoka nchini Canada Drake amepewa ufunguo wa heshima huko Memphis katika Kaunti ya Shelby mahali apozaliwa Baba.
Mkali huyo mara kadhaa amekuwa akitaja 901 katika...
Baada ya kugundua mumewe ameongeza mke wa 2 mwanamke mmoja nchini Kenya katika eneo la Kajiado amechoma moto nyumba yake akiwemo ndani, na kusababisha vifo vya watoto wake waw...
Kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) la nchini Sudan limetangaza kuwaachia huru wafungwa 100 wa vita ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid el Haji. Kund...
Rapa kutokea Ghana Micheal Owusu Addo maarufu kama Sarkodie amemjibu Muigizaji Yvanne Nelson kupitia Diss Track (nyimbo) aliyoipa jina la “Try Me” baada ya mrembo ...
Safari za magari yaendayo kasi maarufu kama (Mwendokasi) kutoka Gerezani hadi Mbagala zinaanza rasmi leo kuelekea msimu wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 (Sabasaba) a...
Ebwana!! Kila uchwao mambo yanazidi kuwa mengi muda nao ni mchache haya sasa wakati mtoto wako wa miaka 14 anajiandaa kwenda Shule basi kuna mvulana wa miaka hiyo nchini Marek...
Shindano kubwa la urembo nchini, la Miss Tanzania limeanza rasmi kwa Warembo 20 wanaowakilisha maeneo mbalimbali kuingia kambini siku ya jana. Maisha halisi ya Warembo hao ka...
Muigizaji kutoka katika filamu iliotamba duniani ya ‘Black Panther’, Chadwick Boseman anatarajia kupokea nyota (tuzo) ya heshima baada ya kifo kwenye Hollywood Wal...
Rais wa zamani nchini Zambia Edgar Lungu, amelaani hatua ya serikali ya nchi hiyo, kuchukua mali mbalimbali zinazohusishwa na familia yake, na kusema kuwa kitendo hicho kimech...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema mtu mmoja amefariki dunia baada ya kuangukiwa na jiwe akiwa katika shughuli za uchimbaji mawe.
Kwa mujibu...
Ebanaee!! Mambo ni mengi muda mchache wanetu basi bwana tasnia ya muziki huu wa kizazi kipya (Bongo fleva) kumekuwa na mtindo ili msanii atoke au afanikiwe basi afanye jambo k...