Mwimbaji wa nyimbo za injili mkazi wa Eldoret nchini Kenya, Mchungaji William Getumbe amejikuta katika mgogoro na watumishi wenzake, huku wakimtoa kwenye kundi (group) lao la ...
Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6, 2023 imezindua mtandao wake mpya wa kijamii wa Threads unaofananishwa na Twitter...
Baada ya kundi linalotambulika kama Sugartee kutoa tangazo likisema kwamba mnamo Julai 7 wataanza mbio ndefu (mashindano) ya kubusiana duniani katika uwanja maarufu wa burudan...
Mamia ya wahamiaji kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara (Afrika) wameshambuliwa katika mji wa Sfax nchini Tunisia huku zaidi ya watu 10 wakiripotiwa kujeruhiwa wakiwemo watoto.
...
Diamond amethibitisha kuwa anatarajia kuongeza mtoto mwingine mwezi Januari baada ya kuikamata namba 1 YouTube kupitia remix ya wimbo wake ‘Baby’alioshirikiana na ...
Mwimbaji Coco Lee, mzaliwa wa Hong Kong aliejizoelea umaarufu katika Pop huko Asia miaka ya 1990 na 2000 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48.
Lee alihamia Marekani akiwa...
Mkurugenzi mkuu wa META, Mark Zuckerberg amezindua mtandao mwengine wa kijamii utakao shinda Twitter japo itachukua muda kidogo kuifikia Twitter.
Mtandao huo uliopewa jina la ...
Mwanaume mmoja nchini Kenya, mwenye umri wa miaka 45 aliefahamika kwa jina la John Rugala, amefariki kwa kujiua baada ya Mke wake kuripotiwa kukataa kumpikia kuku akiwa nyumba...
Mhasibu wa mahakama kuu ya kanda Tabora, Beda Mnyaga Nyasira, amefunguliwa mashtaka ya kuingilia mfumo wa malipo na kuwalipa wanaodai mirathi katika mahakama kuu kanda ya Mtwa...
Oooooh! Kumekucha kumekucha unaambiwa hata kama muziki ni burudani, lakini ndani ya mabanda kwenye maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam maarufu Sabasa...
Hivi karibuni bwana motivational speaker Cobra Andrew Tate alitrend mitandaoni baada ya kusema anatafutwa sana na mastaa wakubwa duniani ili wakutane nae, ila kutokana na tabi...
Vicheko kwa watumiaji wa mafuta ya Petroli na dizeli Julai vitatawala kufuatia kushuka kwa bidhaa hizo katika mikoa inayochukua mafuta hayo bandari ya Dar es Salaam na Tanga i...
Makamu wa Rais nchini Afrika kusini, Paul Mashatile amelaani kitendo cha Maafisa wake wa ulinzi kuwashambulia Raia 2 baada ya video kuwaonesha Maafisa hao wenye silaha wakimko...
Mwanamuziki Yemi Alade amjia juu mtumiaji wa Twitter aliyemuumbua kuhusu kuchanika kwa mavazi yake kwenye moja ya post aliyoiweka katika mtandao huo. Picha hizo ziliambatana ...