Wakenya watatu washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu (sisiminzi) wenye thamani ya shilingi 300,000 za Kenya bila kibali kutoka shirika la Wanyama Pori nchini humo.
Wast...
Rapa kutoka nchini Marekani Cardi B amekanusha madai ya kumcheat mume wake Offset, hii ni baada ya mpenzi wake huyo kupost insta story akidai kusalitiwa na mkewe.
Kupitia...
Mfanyabiashara kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla Rostam Azizi, ametangaza uwekezaji mkubwa katika gesi ya Liquefied Petroleum Gas (LPG) nchini Zambia, ambao utakuwa...
Mkimbiaji mahiri wa mbio ndefu nchini Tanzania, Gabriel Geay aliibuka mshindi katika mbio za 10K, 2023 za Chama cha Wanaume cha Boston (B.A.A.) jana Jumapili, akimaliza kozi k...
Mahakama ya wilaya ya Kilwa mkoani Lind imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kutofanya ...
Mwanamke mmoja nchini Kenya aliye fahamika kwa jina la Margaret Wamaitha atengwa na jamii baada kuwapoteza watoto wake sita na kubeba ujauzito mara saba bila kupata mtoto kati...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy usiku wa kuamkia leo Juni 26 ameshinda tuzo ya BET Best International Act 2023 ikiwa ni mara yake ya nne. Tuzo hiyo ambayo ni ya n...
Taasisi ya Afya nchini Marekani (NIH) imekadiria hadi kufikia mwaka 2025, zaidi ya watu milioni moja wakiwemo wanaume kuambukizwa Saratani ya Ini kila mwaka na hivyo wanahimiz...
Ikiwa ni Zaidi ya masaa 72, tangu ajali ya Titan kutokea, wimbo wa 'My Heart Will Go On' wa mwimbaji Celine Dion kutoka katika filamu ya Titanic, umepanda idadi ya wasikilizaj...
Hellow!!! Guys tunakutana tena kwa mara nyengine katika uwanja wetu pendwa wa masuala ya kazi kama kawaida team Scoop ipo kwaajili ya kukufahamisha kila kitu katika kazi mbali...
Oyaaaweeeeh! Kwahiyo tumekubaliana kuwa hakuna cha kututenganisha na kufanya biashara, yaani sasahivi nimekuja na moto wa kuotea mbali, kama kawaida yangu sinaga mba mba mba k...
Niajeeeh!!! Another weekend vipenzi vyangu na watu wangu wa nguvu kama ilivyo kawaida yetu ni muhimu kwetu kupitia dondoo za fashion kila wiki kwasababu tunajua mitindo ni mai...
Na Elizabeth Malaba
Shinikizo la juu la damu ni moja ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza lakini mtu anaweza kupata kwa kurithi( genetic hereditary) yawezekana katika ...
Na Magreth Bavuma
Mambo niaaaaje, wanangu wa moyoni, segment yako pendwa kabisa ya unicorner sehemu moja tu ambayo tunapangana na kupanguana, kujifunza na kuelimishana kuhusu ...