01
Mbosso: Hofu ya kumkosea mpenzi wako ni nguzo imara
Mtu mwenye mapenzi yake #MbossoKhan licha ya kuwa na mistari mizito katika nyimbo zake yenye ujumbe kwa wapendanao sasa ametoa neno la hekima kwa wapenzi kupitia InstaStory ya...
01
Wiki moja baada ya kifo cha Baba yake muigizaji Angus naye fariki
Muigizaji Angus Cloud kutoka nchini Marekani ambaye alifiwa na baba yake wiki moja iliyopita naye  amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa mama yake zinadai k...
01
Idriss akumbushia enzi za Kanumba na Ray
Muigizaji #idrissultan, ametia neno kuhusiana na tabia ya kurushiana maneno kwa wasanii wa #BongoFleva, huku akikumbushia enzi za Kanumba na Ray kuwa walikuwa wakitupiana mane...
01
Harmonize kuja na albam mbili
Msanii Harmonize kupitia #Instastory yake amedai kuwa hakuna nyimbo mpya atakazo achia badala yake ametangaza kutoa #Albam mbili. Wimbo wa mwisho kutolewa na Harmonize ulikuwa...
31
Jay–z mbioni kuinunua Tottenham hotspurs
Baada ya mmliki ‘klabu’ ya Tottenham Hotspurs, Joe Lewis kuwa na tuhuma za udanganyifu katika biashara ya soko la hisa, mwanamuziki wa Hip-Hop nchini Marekani, Jay...
31
Jide: watu wana hukumu sana
Msanii mkongwe @jidejaydee, atoa neno wa watumiaji wa mitandao ya kijamii, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ,  “Umakini unatakiwa katika kuruhusu vitu gani...
31
Wafahamu Wahindi wenye ngozi nyeusi na nywele ngumu
Duniani kuna watu wa kila aina ambao hutoka mataifa mbalimbali, na wakati mwingine ni rahisi kugundua kuwa huyu ni wa taifa fulani kutokana na muonekano wake, bila kusahau uta...
31
Mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu kombe la Dunia
Nouhaila Benzina beki kutokea nchini Morocco mwenye umri wa miaka 25 ameweka historia kwa kuwa mchezaji wa kwanza kuvaa hijabu  kwenye michuano ya Kombe la Dunia la Wanaw...
31
Mwakinyo atupa jiwe gizani
Bondia Hassani Mwakinyo ametupa jiwe gizani kwa kusema kuwa kuna mambo madogo lakini yakitokea yanaweza kukupa furaha mwaka mzima huku akimalizia na  msemo usemao nyuki w...
31
Wizkid apoteza pete yenye thamani ya zaidi ya milioni 316
Nyota wa muziki kutoka Nigeria Wizkid akiwa kwenye onyesho  Uwanja wa Tottenham nchini Uingereza , siku ya jana amejikuta akiingia kwenye hasara kwa kupoteza pete  y...
31
Zuchu: hakuna msanii ambaye anaweza kupata idea mwenyewe
Wakati habari za ku-copy zikiendelea kwa wanamuziki wa kizazi kipya, mwanamuziki wa #Bongofleva #Zuchu ambaye kwa sasa yuko kwenye trend na hit song yake ya ‘honey&rsquo...
31
Marioo atoa neno video ya Diamond, Jux
Marioo atoa neno la shukurani baada ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Diamond, Jux na wasanii wengine wakicheza wimbo wa #Sumu ulioimbwa na Alikiba f...
31
Mayele: Nitarudi tena yanga, ni familia yangu
Baada ya zile sintofahamu za mashabiki dhidi ya hatima ya Ferston Mayele kuwepo katika ‘klabu’ ya #Yanga hatimae zimefikia kikomo baada ya ‘klabu’ hiyo...
31
Vita ya Diamond na Alikiba imevuka mipaka
Baada ya nyota wa muziki #Diamondplatnumz, kutupa dongo upande wa pili mara tu wimbo mpya wa #Zuchu kufanya vizuri na kuingia trending number one kwenye mtandao wa #YouTube, v...

Latest Post