Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2000, wakati huo naishi na mjombangu hapa Dar. Nilikuwa nimepata kibarua pale karibu na Tazara. Nilikuwa nimemaliza darasa la Saba kijijini na kukaa...
Ni wazi wengi wetu tumeshawahi kusikia malalamiko kutoka kwa baadhi ya wanawake wakisema, ‘kabla hatujaoana alikuwa malaika kabisa, yaani alikuwa ananifanyia kila kitu h...
Haloo weeh!!! Haloo tenaaa!! Hivyo ndivyo watoto wamjini wanasema bwana ambapo Baba mtoto wa msanii wa filamu nchini Jacqueline Wolper amesema harusi yao inatarajiwa kufungwa ...
Hellow! Bwana bwana waswahili wanasema usiku wa deni haukawii kukucha leo tutakudondoshea taarifa mbalimbali kuhusu bajeti kuu, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba...
Ni siku nyingine tena tunakutaka kupitia safu hii ni kiamini kuwa u mzima wa afya tele na unaendelea na majukumu yako ya kulijenga taifa hili.
Leo katika masuala ya urembo tut...
Niajeee! Wanangu wa Mwananchiscoop najua mtakuwa mmetumisi sana, basi leo tumekuja kukata kiu yenu na shauku mliokuwa mnaisubiri kuhusu new mwananchiscoop na leo kwenye buruda...
Walikutana studio ya muziki na kuunganishwa na rafiki mmoja, na sasa wanajulikana kati ya wachekeshaji wakubwa nchini Tanzania. Pamoja na Carpoza kufukuzwa kazi katika siku ya...
“Sijawahi kutamani kuwa maarufu (star), wala sifurahishwi sana na maisha ya kuwa mtu maarufu katika jamii kwani sio maisha bora kwangu nayakumbuka maisha yangu ya ...
Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!
Linapokuja swala la kujamiiana kwa wapenzi wapya ambao hawajawahi kukutana kimwili tangu kujuana kwao ni ...
HABARI njema kwa wanafunzi wote wanaotarajia kufanya mitihani, namna gani unatakiwa kujiandaa ili kuhakikisha unafanya vizuri na kufaulu kwa kiwango cha juu katika mitiha...
Leo tutaelezana juu ya adhabu iliyopo kwa mujibu wa sheria ambayo mtu anaweza kupewa endapo atampatia mtu aliyekwisha lewa kilevi kingine.
Wakili kutoka taasisi ya Avis L...
WANANDOA wengi wameshindwa kuishi maisha ya ndoa hivyo wengi wao wamekua wanaharakati zaidi katika ndoa kuliko kuwa walezi wa ndoa zao hali ambayo imesababisha migogoro ...