Halooo!!! Moja kati ya siku ambazo ni special sana kwa mwanamke ni ile siku ambayo anapata nafasi au bahati ya kufunga ndoa kwenye maisha yake na hua ni siku kubwa sana ...
Yees!! Karibu sana mdau kwenye ukurasa wa entertainment bila shaka huu ndiyo ukurasa muhimu kabisaa wa kuyafahamu mengi yanahusu burudani bwana ama nini?
Bila kukupotezea muda...
Si mnaelewa watu wangu wa nguvu yani Mwananchi scoop hatunaga mba mba mba, leo bwana kwenye new movie tunakusogezea kigongo ambacho mwaka 1949 ilikuwa kama ni novel lakini mtu...
Name; Hadatha Mylose
Birthday; January, 14
Kazi; Musician
Oooooyeeeeeah! It’s another friday mwendo ni ule ule hatupoi wala hatuboi, basi bwana leo kwenye kile kip...
Wewe mwenzangu na mie ukihangaika na vifollowers vyako 100 wenzako huku wanashikilia nafasi za juu za kuwa na wafuasi wengi (followers)
Raia wa Senegal Khaby Lame ametajwa kuw...
Aloooooweee! Kumbe nyie mapenzi matamu na hamsemi, binadamu mnasiri sana bwana ahahahha! Yule chalii kutoka Rchuga Dogojanja anatutishia Amani wanangu wa Instagram kuwa atatub...
Oyaaaah! Weeeh! Kwani wanadamu mnanini nyie lakini? Make hapa kwanza ncheke, leo bwana katika gumzo mitandaoni kuna balaa zito baada ya mwanadada mkongwe katika tasnia ya bong...
Ebwana eeh!! moja kati ya ujumbe ulioibua gumzo mtandaoni ni huu hapa uliotoka kwa msanii wa Muziki wa Bongo fleva Mario ambapo ameshusha waraka mzito unaowahusu wasanii wa bo...
Hellow! Wanangu wa mwananchiscoop leo katika biashara tumekujia na nondo ambazo zitakusaidia katika biashara au mradi unayo taka kuuanzisha ungana nasi kupata mbinu ambazo zit...
Aloooh weeeh!!! Hii rasmi kabisa kutoka kwa Msanii wa Muziki hapa nchini Barnaba amefunguka kwasasa hawezi tena kuwa na mahusiano na mtu maarufu kwa kile alichodai kuwa haitaj...
Ebwana eeh!! hii nayo kubwa kuliko hatimaye Msanii na mwigizaji Menina Alegria ameweka bayana aina ya Wanaume ambao anawahitaji Kwenye Maisha Yake.
Msanii huyo ame...
Ebwana eeeh!! Ulikua unalifahamu hili? Kama bado acha nikujuze Zaidi kuhusiana na siku hii ya tarehe 21 june ambapo ni siku ya Muziki Ulimwenguni, Siku ya kuFanya Muziki ambay...
YES!!! Moja kati ya suala ambalo limeibua mjadala huko mitandaoni ni hili hapa linalohusu maadhimisho ya siku ya baba duniani ambapo siku hiyo hutambuliwa kila ifikapo tarehe ...