13
Video ya MOYO now OUT
Msanii pendwa wa WCB Wasafi, Mbosso Khan sasa officially ameachia video ya nyimbo yake mpya ya "MOYO."Baada ya fans kupokea audio ya Moyo hivi karibuni, Mbosso ameamua kutushu...
13
Afariki kwenye mashindano ya kunywa pombe kali
Hii imetokea huko Nchini Afrika Kusini ambapo Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kumaliza chupa nzima ya pombe kali y...
13
MAHUSIANO: Simu yangu mwenyewe inaniletea kisirani kwenye ndoa yangu
Nimekuwa nikisikia kuhusu vurugu za ndoa zinazotokana na simu za mkononi. Kwa upande wangu nilikuwa sijawahi kupambana na tukio lo...
12
RayVanny aaga WCB WASAFI Rasmi
Nyota wa Bongo Flava na CEO wa Next Levl Music, RayVanny ameaga rasmi lebo ya WCB Wasafi.Ingawa tetesi hizo zimekuwa zikitamba kwa muda sasa, ila leo msanii huyo kupitia kuras...
12
Esma Platnumz asema hababishiwi na wanaume
Aloooh dada wa msanii Diamond, Esma Platnumz  amefunguka kuwa haoni sababu ya kuteswa kwenye mapenzi/mahusiano wakati ana uwezo wa kusimamia mambo yake yote na sio k...
11
Vituko vya watu wa Sri Lanka na kuvinjari IKULU
Hapa sijui kama nicheke au nisikitishe maana mambo ni mambo muraaa!!Sidhani kama kuna siku tulitegemea kuona wananchi kushikwa na hasira hadi kuamua kuvamia nyumba ya Rais wao...
11
JE WAJUA: Watu wanaoishi China ni zaidi ya watu Afrika nzima
Kali nyingine hii hapa!Pengine ulikuwa unajua kuwa nchi ya China inaongoza kwa watu wengi duniani, lakini je ulijua kuwa uwingi huo wa watu ni sawa na watu wa bara zima la Afr...
10
UNIVERSITY EXAMINATION (UE) WEEK
Aloooooh, Kimeumana! Nikisema kimeumana na maanisha mtu wangu wa nguvu bwana, leo kwenye ile segment yetu pendwa ya Uni Corner ni kama kwa motoo hivi, wanachuo wenyewe wanakwa...
10
Hadhi ya vyuo vikuu iko wapi
Na Leonard Musikula Niajeee! Wanangu wa Mwananchi Scoop! Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika moja ya falsafa zake juu ya uhuru na ujamaa alisema kuwa nafasi ...
10
Jinsi ya kuondoa wasiwasi katika usaili
Heloow! Wanangu wa Mwananchi Scoop, leo nimekuja na kitu ambacho kitakusaidia ili upate kazi kwa haraka. Najua mnadanganyana na kutishana mambo mengi sana kuhusiana na usaili ...
10
ASMA JAMIDA: Mabinti hawapewi heshima kwenye ucheshi
Jina: Asma Majid (Jamida) Birthday: September 27th Alooooooh!! Mwananchi Scoop this furahi day bwana tumemmulika binti ambaye anafanya sanaa ya ucheshi, Asma Jamida. Bila shak...
10
Mambo yanayo kwamisha biashara yako isiweze kukua
Helooow! Natumai ni wazima wa afya. Leo bwana katika biashara nimekuja na jambo konki yaani ukiweza kulifuatisha hili basi biashara yako haita tetereka, cha kwanza ninacho tak...
09
Unaujua mtindo wa kubandika nguo wewe
Alooooh weeeh aloooo teena, karibu sana kwenye dondoo za fashion. This week bwana tumekuandalia jambo kubwa kabisa la mtindo wa kubandika nguo. Je unafahamu unyama huu jinsi u...
09
MR BEAN aja na balaa jingine
Helooow! Wanangu wa mwananchiscoop bwana bwana yule mzee wa kimya kimya safari hii amekuja na nyingine tena, yaani sio nyingine tuu ni balaa juu ya balaa. Nikizungumza hivi n...

Latest Post