Hahahah! Make kwanza ncheke, huyu mtoto ni balaa yaani sio pouwa
Kabisa. ashabiki wanasema akiamua kutoa nyimbo basi anatulia haswa,
ukiachana na story ya Stamina na Lody Musi...
Kama kawaida yetu hatuboi wala hatupoi, week hii bwana katika
entertainment yaani nyimbo zilizotoka week hii moja wapo ya yule kijana
wa “kubali’ ambae alihit sana...
Halaaaa fellas,
Najua watu wengi sana mngependa kwenda Zanzibar lakini pengine hata haujui ukienda huko ukale bata sehemu gani?
Na kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mitandao ya...
Tunajiuliza siku zote ni kwa nini penzi linapoingia mahali huweza kuharibu kila kitu? Tumekuwa na misemo yetu ya siku nyingi kama siyo ya asili, kama vile ule wa ‘penzi ...
Kijana mmoja Jijini Nairobi, nchini Kenya anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa kosa la kujiteka ili apate fedha kutoka kwa wazazi wake.Kijana huyo ajulikanae kama E...
Aiseee ulikua unaifahamu hii??? Kwa mujibu wa Sheria, sio kosa endapo askari akikuomba leseni kisha ukawa hauna kwa wakati huo.Kupitia mahojiano, mdau wa jukwaa la S...
Basi bwana bwana, kama watu wengi walivyokuwa wanahisi, msanii mkali wa kike TZ, Nandera maarufu kama Nandy ameconfirm ujauzito wake.Confirmation hiyo imekuja baada ya yeye na...
Bwana weeeh! Mume wa rapa kutoka nchini Marekani Nick Minaj, Kenneth petty amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya Uangalizi wa Mahakama na Kifungo cha Nyumbani mwaka mm...
Aloooh! Wakati wengine wakimsifia Diamond kwa kupeperusha bendela ya Tanzania katika matamasha mbalimbali anayo yafanya ambapo hivi karibuni akiwa katika show yake kubwa ya Af...
Maafisa wa magereza nchini Nigeria wanasema watu wenye silaha walishambulia jela moja katika mji mkuu Jumanne usiku na kupelekea wafungwa 600 kutoroka. Gereza hilo linawashiki...
Sio kila mtu anapenda kufanya mazoezi Gym. Wengine kama mimi tunapenda kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu moja au nyingine.
Na kama wewe unaangukia kundi hii, fuata hatua hiz...
Na Neema Mwamkina
Hakuna mtu badala yako, pambana kwa ajili ya maisha yako. Fahamu kuwa hakuna mtu yeyote duniani atakayebeba maisha yako. Mtu anayekuchukia na kukufany...
Aloooh! Ndugu yangu vipi unapicha ya kumbukumbu ya kututolea stori siku yako ya kuoa/kuolewa au upo upo tuu hahaha! sasa bwana msanii wa bongo movie Tanzania Wolper Amesema at...
Hahaha! Make hapa kwanza ncheke wakati wewe ukihangaika kumposti mtoto wa mama mkwe mitandaoni wenzako huku wanaogopa kutupostia majina ya mababy zao, bwana msanii wa bo...