Waigizaji maarufu nchini Marekani, Jennifer Lopez na Ben Affleck wamefunga ndoa mjini Las Vegas nchini humo ikiwa ni miaka 17 baada ya kusitisha uchumba wao wa kwanza.Waw...
Ebwana eeh baada ya kufunga ndoa wasanii maarufu hapa nchini Billnas pamoja na mkewe halali Nandy, Zuchu ameamua kuwapongeza wawili hao kwa hatua hiyo waliyofikia.
Zuchu ...
NYAMA ya nguruwe maarufu 'Kitimoto' imekuwa ikipendwa sana na watu wa mijini na vijijini licha ya kwamba bei yake ni ghali kuliko ya ng’ombe.
Kwenye baa mbalimbali za ji...
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya sikukuu ya Idi. Tulikuwa mahali na jamaa yangu mmoja tukizungumza huku tukinywa soda.
Wakati tukiwa tumekaa hapo kwenye bar,...
Jina: Noah Joseph (Konkara)
Birthday: 10TH April
Kazi: Comedian
Konkara, kijana anayefanya kazi ya ucheshi ambaye ameenza rasmi mnamo mwaka 2019 chini ya mwamvuli wa P...
Labda umewahi kusikia kwamba kutokuosha nywele zako mara kwa mara, ni bora zaidi, sawa? Lakini ni nini kweli katika hili? Kwa kweli, ni swali ambalo hakuna jibu la umoja. Nini...
Inaendelea kutoka wiki iliyopita…
Inaanzaje?
Watu wawili hupendana. Kama nilivyosema, kupendana huku husababisha homoni hii kuzalishwa ubongoni. Kuzalishwa kwa kemikali...
Hellow wanangu wa Mwananchi Scoop. I hope mko good kabisa. Leo bwana katika biashara, nimekujia na jambo muhimu ambalo unatakiwa kulifahamu wewe mjasiriamali na mfanyabiashara...
Alooooh! It’ another Friday mtu wangu, kama kawaida yetu hatunaga mbambamba waswahili wanasema, sasa leo kwenye kazi na maisha nje ya kazi tumekuletea somo ambalo litaku...
Moja kati ya taarifa kubwa ya kimataifa ni hii hapa inayomuhusu Ivana Trump ambaye amewahi kuwa mke wa aliyekuwa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amefariki dunia Julai...
Hellow mambo vipi?!! tupo kwenye kipengele chetu cha kibabe bhana jumatano lazima tuamshe na Smartphone ili kuhakiksha simu zetu tunakwenda nazo sawa bin sawia hakuna kuremba ...
Hii sasa kali Nyota Wa Filamu Bongo Irene Uwoya katika ukurasa wake wa instagram ame-share video fupi akisema kwamba anatafuta mtu kwaajili ya kumchekesha "Na...
Bwana bwana! Wanaanza kumchokoza Ruby wetu.Kama tunavyojua bwana... msanii wa Bongo Fleva, Kusah amewaweka katika kipindi kikali wasanii Aunty Ezekiel na Ruby, kwa sasa maarud...