Moja kati ya taarifa ambayo imewaacha watu midomo wazi ni hii hapa inayohusisha maneno aliyoyazungumza Mchungaji aliyefungisha ndoa ya Billnass pamoja na Nandy katika kanisa l...
Uwiiiiiih! Wakati wengine ndo kwanza wanaingia kwenye ndoa huku sasa kuna wengine ndo kwanza wanainua mikono juu kutokana na maswala ya ndoa kushindwana nayo basi bwana bidada...
Duuuuuuh! yanii sio powa yaani hatari na nusu, katika mitandao ya kijamii kumekuwa na gumzo matata sana baada ya mzee mmoja kujitokeza na kueleza kuwa mwanadada aliefunga ndoa...
Aloooooh! Mnasema nihame bongo niende wapi mie ahahha! Basi bwana siku chache baada ya yule Baba wa binti maarufu Paula kajala, bwana P Funk Majani kumwaga povu kuhusu Lebo ya...
Alooooooh!Bwana bwana, naona Wasafi family sasa imeamua kukamatia sekta zote baada ya watatu kati ya familia hiyo kuanza rasmi tasnia ya uigizaji.Katika teaser ya tamthilia mp...
Heheheh! Jamani jamani waswahili wanasema ndoa isikie kwa mwenzako ila usijalibu kukurupuka, basi bwana mtangazaji Diva theebawse amefunguka ya moyoni kuhusiana na chan...
Alooooooo! Nyie nyie nyie kuna watu wanabahati haswaa wakati wengine wa kugombewa kuolewa wewe utaendelea kufa single, sasa bwana zilizokiki hivi punde kutoka kwa ...
Hii sasa balaa aiseee, dunia simama nishuke ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni. Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa amekamatwa na kushtakiwa baada ya ku...
Diamond Platnumz ni kati ya wasanii waliojizolea umaarufu sana Afrika na dunia kwa ujumla. Kutoka katika maisha ya hali ya chini sana, msanii huyu amefanikiwa kupanda kwa kias...
Yes, moja kati ya jambo ambalo linapigwa vita katika mahusiano mengi ni pale ambapo mtu akiwa ameshindwa kuendeleza safari ya mahusiano yake na mwenza wake huwa hakuna kuachan...
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, unajua utamu wa penzi jipya wewe basi bwana kwenye zilizo trends mitandaoni bwana kutoka kwa msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego baada...
Uwiiiiiiii! Wakati wewe ukivimba na kutamba kuwa una Shangazi bora basi wengine wako kimya na marich Anty wao chezea wewe, basi bwana inaonekana week hii ni week ya Nandile tu...
Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Wajapani kama fundi mchundo, ndipo mkasa huu uliponitokea nikiwa na rafiki y...