Msanii Wa Bongo Fleva Nchini amesema mwezi July huu anarudi shule kusoma degree ya "Community Development."Shetta aliyasema hayo kupitia Refresh ya WasafiTV ambapo alitak...
Wanasemaga usililie vingine, wewe lilia tu bahati!Basi bwana katika harakati za maisha za hapa na pale, Star Wa Filamu Bongo 🇹🇿 anayejulikana kama Shamsa Ford amese...
Msemaji wetu pendwa ambaye pia ni msemaji wa Yanga Sports Club, maarufu kama wananchiiii, Haji Manara amewataka mashabiki wa mpira nchini kutokuza kwa lego la matusi tukio la ...
Ulishawahi kutamani kuingia leba na kushuhudia mtu anavyojifungua?Kama wewe ni mwanaume mwenye mke au girlfriend ambaye yuko pregnant, basi hii inakuhusu!Kati hali aidha ya ku...
Moja kati ya habari njema kabisa iliyotufikia hivi punde ni kuhusiana na matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2022 ni haya hapa kama ifuatavyo.
Matokeo ya mitihani ya kidato c...
Baada ya maneno mengi yanayovuma mitandaon,i leo yule kijana aliekuwa katika band ambayo ilihiti sana kipindi cha nyuma Bekaflavour baada ya kuzuka maneno kuwa yeye na Aslay k...
Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, leo bwana kwenye zilizotrend mitandaoni ni kutokanana tukio la kustaajabisha limetokea huko San Pedro nchini Ufilipino amba...
Huenda msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz akawa amethibithisha kuwa katika lindi la penzi zito na msanii mwenzake, Zuchu baada ya kutoa comment katika Pos...
Msanii wa bongo flava, Barnaba Classic officially ametangaza kuzindua album yake Julai, 28, 2022.Album hiyo itakuwa ni album ya 5 kutoka kwa msanii huyo mashuhuri.Shughuli hiy...
Tofauti na watu wengi walivyodhania, mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Suleiman 'Sopu' ameangukia mikononi mwa timu ya Azam FC badala ya Simba au Yanga kama ilivyotegemewa....
Kila mtu anatamani kuwa na simu nzuri na mpyaaaa… Whether hiyo simu ni brand ya Apple, Samsung, Tecno ama yeyote ile, kila mtu anataka kitu kilicho bora.
Leo nakuletea ...
Watoto wengi wa mjini wanapenda sana kupendeza ndugu yangu, jaribu hii fursa ujionee maajabu sio kama nakutania ila waswahili wenyewe wanasema jaribu utakuja nishukuru badae h...
Tunajiuliza siku zote ni kwa nini penzi linapoingia mahali huweza kuharibu kila kitu? Tumekuwa na misemo yetu ya siku nyingi kama siyo ya asili, kama vile ule wa &lsquo...
Na Aisha Lungato
Name; John Lucas
Birthday; November, 12
Kazi; Student & Comedian
Nasemajeeee! Mwananchiscoop isipotoka this Friday niite Mbwa niko nimekaa pale, hahahaha...