Ebwana eeh!! baada ya siku kadhaa Romy Jons kutangaza kuachia Ep yake mpya aliyoipa jina la The weekend ambayo inatarajiwa kuachiwa wiki hii kaka wa msanii huyo Diam...
Na Innocent Ndayanse
SIKU Panja alipotoka gerezani, fikra zake zote zilikuwa juu ya Kipanga. Hakuchukua zaidi ya nusu saa nyumbani, Kinondoni ‘A’ jirani na Kanisa ...
Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, hope huko poua na unaendelea vema na masomo yako hapo chuoni.
Basi leo katika fashion tutaangalia juu ya mboga aina ya bamia jinsi inavyotibu ch...
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Star wa Filamu Jackline Wolper ameandika ujumbe mzito kuhusiana na Wanawake jinsi wanavyopamabana kuhakikisha wanalisha Watoto wao.
"Naku...
Karibu msomaji wetu wa magazine ya Mwananchiscoop na leo katika kipengele hiki cha fitness tutaangalia aina tano ya mazoezi ambayo ni hatari na yanaweza kukusaba...
Na Neema Mwamkina
Maisha ya mwanadamu wakati mwingine yamejaa matukio ambayo huwezi kuyaepuka. Moja kati ya hayo ni mtu kuchukiwa na wenzake na kujikuta katika wakati mgumu iw...
Daktari wa Magonjwa ya binadamu kutoka Hospitali ya Anglikana, iliyopo Buguruni jijini Dar es Salaam, Dk. Rahel Mwinuka anafunguka na kusema
Magonjwa ya Zinaa, ni magonjwa yae...
Moja kati ya taarifa kubwa ambayo tumekuletea siku ya leo ni kuhusiana na Kamati ya Kitaifa ya Rais ya Kutangaza Tanzania, imesema kuwa Mei 8, 2022 Filamu ya Tanzania ‘T...
Ohoo! Hii ni kubwa kuliko ambapo Malkia wa mipasho nchini Tanzania Khadija Kopa ametoa taarifa za mtoto wake kuhusishwa kuwa na mahusiano na msanii Diamond platnumz.
Kup...
Uko poa kijana mwenzangu? Bila shaka nikukaribishe tena kwenye ukurasa wa Smartphone kama kawaida huu ni uwanja wa kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu simu yako ya kiganjani...
Ebwana eeh!!Mtangazaji wa Wasafi media Divatheebawse amethibitisha kubadilisha jina lake la pili, Diva ameanza kutumia jina la mume wake kama Jina lake la pili ambalo ni ...
Aisee mara nyingi suala la kuachwa kwa mke na baadaye kurejewa tena hii bahati hua inawakuta watu wachache tu na hili limedhihirika kwa Muimbaji kutoka nchini Marekani Neyo am...
Sekta ya Kilimo ni mhimili wa uchumi wa Tanzania na imekuwa ikichangia Pato la mkulima mmoja mmoja, kaya na Taifa kwa ujumla pia ni tegemeo la mapato ya fedha za ndani na za n...