Mambo vipi? mfuatiliaji wa Mwananchi scoop, karibu kwenye ukurasa wa nipe dili na leo tutakwenda kuelekezana jinsi ya kuandaa bagia za kunde je umeshawahi kujaribu kutengeneza...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakw...
Ebwana eeh!! kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Mkuu Wa Wilaya ya Kisarawe Nikkwapili ameandika ujumbe huu hapa.
''Ugumu wa kujikosoa nikwamba utapata majibu yale usiyop...
Alaaah! Kutoka ukurasa wa Instagram wa Muigizaji wa bongo movie Irene Uwoya mapema ameweka ujumbe huu mtandaoni ulioibua wadau mbalimbali ikiwemo wasanii wenzake kumtakia heri...
Leo katika listi tutamuangalia Jaji wa kwanza mwanamke mweusi wa mahakama ya juu Marekani, Ketanji Jackson aliyepitishwa na bunge la seneta kushika wadhifa huo ikiwa zimepita ...
Na Innocent Ndayanse(Zagallo)
NI usiku wa manane. Saa saba! Kwa wapenzi hawa wawili, bado ilikuwa mapema sana. Walikuwa hawajaambulia hata lepe la usingizi. Na zaidi, n...
Aisee moja kati ya stori ambayo imezua gumzo mitandaoni ni hii inayomuhusu Mwigizaji Julia Fox ambaye anaendelea kuwa maarufu zaidi baada ya kuwa kwenye mahusiano na Kanye Wes...
Ebwana eeh! hivi unalikumbuka lile tukio la Will Smith kumpiga kofi Chris Rock? Sasa bwana Mama mzazi wa Chris Rock amefunguka kuhusu tukio la mtoto wake kupigwa kofi.
"...
Watu wengi wanakabiliwa na kuathiriwa na hofu katika maisha yao kwa namna moja au nyingine. Hofu hizi zinaweza kusababishwa na mazingira, mtu, kitu au hata sababu za kisaikolo...
Moja katii ya stori ambayo iko mitandaoni ni hii hapa ambapo Muna love ameamua kuwajibu walimwengu kuhusu mambo mbalimbali wanayomdhania kutoka kwenye ukurasa wake wa In...
Waswahili wanasema ukimwa mboga wenzako wanamwaga ugali, au msemo mwingine unasema hivi kama mbwai mbwai tu hiki ndicho kimetokea baada ya bondia maarufu duniani Mike Ty...
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye mchezo wa leo dhidi ya Namungo utaopigwa katika dimba...
Naam! Ni siku nyengine tena tunakutana mfuatiliaji wa magazine ya Mwananchi scoop kama kawaida huwa tunawaandalia makala za michezo na burudani ili wewe mwanamichezo uwe...
WHO’S HOT
Na Aisha Lungato
Name;Baraka Malipula
Birthday; December,15
Kazi; Musician
Baraka Malipula also known as Rackshotta A.K.A Mtu Mtata is an Tan...