10
Aunty Ezekiel atamani kupata mtoto wa tatu
Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ameweka wazi hisia zake za kutamani mtoto wa tatu kwa sasa kwani yeye ni mama bora na anaweza vema kutunza familia. Kupitia ukurasa wake...
09
Wasichana tuendelee Kupiga Vita Rushwa ya Ngono
Wakati wanawake Machi 8 ya kila mwaka dunia uadhimisha siku yao, bado wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha W...
09
Zuchu Awajibu Basata
Ebwana eeeh! kutoka lebo ya WCB msanii Zuchu amewajibu Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kuwaambia wamewaonea kuifungia video ya mtasubiri aliyofanya na Diamond Platnumz. ...
09
Maua Sama: Nampenda Alikiba
Msanii wa muziki nchini, Maua Sama ameshare hisia kwamba anampenda msanii mwenzake Alikiba. Maua ameweka wazi kumkubali Alikiba baada ya hivi karibuni kufunguka kwamba hakuna ...
09
Spider Man wa bongo Amkera Wema Sepetu
Moja ya story ni hii ya aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ameweka wazi kukerwa na Spider Man wa Bongo ambaye anatrend mitandaoni akicheza taarab na kuuza matunda ...
06
Timu ya 76ers yapoteza tena mchezo wake
Unaambiwa bwana hali imezidi kuwa mbaya kwa timu ya Philadelphia 76ers (Sixers) baada ya kupoteza mchezo wa pili wa nusu fainali kanda ya mashariki dhidi ya Miami Heats kwa ku...
06
Joeboy, musician
Name; Joseph Akinwale Birthday; May, 21 Kazi; Musician   Joseph Aknwale also known  as Joeboy is a Nigerian Singer and songwriter   Joeboy anajulikana...
06
Epuka Kuwaweka dawa watoto, Ipo Mitindo Mizuri ya Kuwasuka
Habari za tangu wiki iliyopita msomaji mwananchiscoop najua u mzima wa afya na leo tunakutana tena ili kuweza kujuzana mambo mbalimbali uwenda unayajua lakini mimi nakujuza za...
06
Mwijaku Akutwa na Kesi ya Kujibu
Ohoo!!Msanii wa maigizo, Burton Mwembe maarufu Mwijaku,wenyewe anapenda kujiita Dc wa Insta amekutwa na kesi ya kujibu katika shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume na she...
06
Simulizi: Kwa Udi na Uvumba 04
Na Innocent Ndayanse Sehemu ya 04 Panja akakohoa kidogo kisha akamuuliza, “Hushangai kuona mara nipo, mara sipo?” “Hata nikishangaa itanisaidia nini? Najua k...
06
Kijana wa miaka 13 mwenye Kampuni Azua Gumzo
Moja ya stori inayobamba huko mitandaoni ni ya kijana wa miaka 13 kutokea nchini Uingereza Omari McQeen ambaye imeelezwa anatengeneza mkwanja mrefu kupitia mitandao ya kijamii...
05
Fahamu jinsi ya Kumlisha Mtoto Maziwa ya Kopo
Kuna aina nyingi za maziwa ya unga yaliyotengenezwa maalumu kwa watoto wachanga. Mratibu wa lishe Manispaa ya Temeke, Dk Charles Malale ndani ya jarida la MwananchiScoop leo a...
05
Unafanyaje iwapo watu wako wa karibu wanakuchukia
Hakuna mtu badala yako, pambana kwa ajili ya maisha yako. Fahamu kuwa hakuna mtu yeyote duniani atakayebeba maisha yako. Mtu anayekuchukia na kukufanyia mambo mabaya analengo ...
05
Harmonize Anunua Range mbili za Kajala
Msanii Rajabu Abdul maarufu Harmonize ameweka wazi kuwa Amemuagizia Gari lingine Muigizaji Kajala Frida aina ya Rangerover  nyeusi na hivyo kufanya Jumla ya Magari m...

Latest Post