Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘The British Journal of Sports’ umegundua kuwa kukaa chini zaidi ya saa 12 kunaongeza hatari ya kifo cha mapema kwa asilimia 3...
Mwanamuziki wa Colombia Shakira amefunguka kuwa hayopo tayari kuingia kwenye mahusiano rasmi badala yake anatamani kuwa na mtu wa kawaida (mchepuko).Shakira maeyasema hayo wak...
Baada ya remix ya wimbo wa ‘Yule’ kutoka kwa mkongwe wa muziki Bongo AY na Marioo kupokelewa vizuri, na sasa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, Michezo Mwana FA ame...
Fred Omondi ambaye ni mdogo wa mchekeshaji maarufu nchini Kenya, Eric Omondi amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari.Kwa mujibu wa tovuti ya Pulse, Fred amef...
Fainali za mpira wa kikapo Marekani NBA zimeripotiwa kuweka rekodi mpya ya bei ghali za ‘tiketi’ tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 ambapo kwa sasa ‘tiketi&rs...
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Stephane Aziz KI amekosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Burkina Faso akizidiwa kete na Edmund Tapsoba.Tuzo hiyo imetolewa ...
Ikiwa ni mwendelezo wa tamasha la muziki la ‘BongoFlava Honors’, linalosimamiwa na mwanamuziki mkongwe Joseph Mbilinyi 'Sugu', awamu hii ni zamu wa wanamuziki wa z...
Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Wes Brown amesema staa wa Al Nassr na Ureno ajiandae kwa majukumu tofauti na yale aliyozoea katika kikosi cha ‘timu’ ya ta...
Ikiwa tayari zimefanyika show 100, katika ziara ya dunia ya mwanamuziki wa Marekani Taylor Swift, ‘Eras Tour’, hatimaye msanii huyo ameweka wazi tarehe ya kutamati...
Mbwa wa mwigizaji Daryl Dixon's aitwaye ‘Seven’ aliyeonekana katika filamu ya zombie ya ‘The Walking Dead’ amefariki dunia siku ya jana Alhamisi Mei 13...
Mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish ameweka wazi kuwa hajawahi kuachwa wala kuumizwa kwenye mapenzi, badala yeye ndiye huwa wa kwanza kutaka kuachana.Eilish ameyasema hayo w...
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...