21
Mwigizaji Donald Sutherland afariki dunian
Mwigizaji Donald Sutherland, kutoka nchini Canada aliyejulikana kupitia filamu zake kama ‘The Hunger Games’ na ‘MASH’, amefariki dunia akiwa na umri wa...
21
Kylie Jenner alia na wanaonanga mwonekano wake
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kylie Jenner aangua kilio kutokana na mashabiki kuunanga mwonekano wake wa sasa baada ya kufanya surgery.Kylie ameeleza maumivu anayoyapitia kat...
21
Travis Scott aachiwa huru kwa dhamana
Mwanamuziki Travis Scott ameripotiwa kuachiwa huru kwa dhamana, baada ya kukamatwa siku ya Jana Alhamis asubuhi kwa kosa la ulevi kupindukia.Kwa mujibu wa tovuti ya Cnn, Travi...
20
Tems: Ukinichumbia jua umepata ua adimu
Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu. Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akio...
20
Mwanamuziki George Strait avunja rekodi
Mwanamuziki wa Marekani George Strait amevunja rekodi nyingine katika taaluma yake ya muziki kwa kuujaza uwanja na kuifanya show yake hiyo kuweka historia mpya ya mauzo ya &ls...
20
Ijue siri Komasava ya Diamond ilivyompa mzuka Chris Brown
Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...
20
Swael Lee aomba kuingiza verse kwenye ‘Komasava’ ya Diamond
‘Rapa’ kutoka Marekani #SwaeLee amemuomba #DiamondPlatnumz amtumie wimbo wa #Komasava’ aliomshirikisha Chley na ...
20
Davido amshitaki mama watoto wake
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, #Davido amemshitaki mama watoto wake aitwaye Sophia Momodu, kwa kwa kudai huduma ya malezi iiliyopitiliza ya binti yake wa kwanza, aitwaye I...
20
Harmonize atamani kufanya kazi na Meek Mill
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Harmonize ameamua kuzama DM ya ‘rapa’ kutoka Marekani #Meekmill akiomba kufanya naye kazi ya muziki. Kupitia #Instastori ya Harmonize ...
20
Sura ya Rihanna kutumika kwenye manukato ya ‘Dior’
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
20
Zuchu amwagia sifa Diamond, Amshukuru Chris Brown
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...
20
Chris Brown akicheza ‘Komasava’ ya Diamond
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
19
Kinda wa Uturuki arda avunja rekodi ya Cr7
Kinda wa Uturuki Arda Guler amevunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye ‘mechi’ yake ya kwanza kwenye mikikiki...
19
Mume wa Simi afunguka kuwa na ugonjwa wa ‘Sickle Cell’
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu. Tovuti ya ...

Latest Post