Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
Mwanamuziki kutoka Marekani Usher Raymond ameweka wazi kuwa kila ifikapo siku ya Jumatano huwa hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji.
Usher ameyasema hayo wakati alipokuw...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
Bondia wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja.
Wi...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu.
Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na Mwigizaji wa Marekani Jason Momoa na Adria Arjona wanatoka kimapenzi, hatimaye Momoa amethibitisha tetesi hizo.
Momoa amethibitisha kutoka ...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani Justin Timberlake ameripotiwa kukamatwa na polisi baada ya kukutwa anaendesha gari akiwa amelewa.
Kwa mujibu wa ABC News, ilieleza kuwa af...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani, #FatJoe amedai kuwa #ChrisBrown asingejiingiza kwenye mapenzi angekuwa kwenye kiwango sawa na marehemu #MichaelJackson.
Joe ...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.
Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kin...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ari Nagel kutoka Brooklyn nchini Marekani kwenye siku ya baba duniani inayoadhimishwa kila mwaka Juni 16, amesheherekea siku hiyo kwa kupata...
Mwanamuziki wa Nigeria, #Portable, amemtolea povu mkali wa Afrobeat Davido kwa kudai kuwa msanii huyo alimtumia vibaya kwa ajili ya kutafuta umaarufu na kumuacha bila msaada w...