25
Will Smith kukiwasha tuzo za Bet
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET. Katika taarifa iliyoto...
25
Nyota wa ‘Pirates of the Caribbean’ afariki dunia
Mwigizaji kutoka Marekani aliyefahamika zaidi kupitia filamu yake ya ‘Pirates of the Caribbean’ Tamayo Perry amefariki dunia baada ya kuliwa na samaki aina ya Papa...
24
Varane kuungana na Messi timu moja
Mmoja kati ya wamiliki wa klabu ya Inter Miami, #DavidBeckham imeripotiwa kuwa yupo katika mazungumzo na wawakilishi wa beki wa #ManchesterUnited, #RaphaelVarane kwa ajili ya ...
24
Aliyehusika mauaji ya Pop Smoke aachiwa huru
Kati ya watuhumiwa wanne walioshitakiwa katika mauaji ya ‘rapa’ wa Marekani J. Christopher Smith maarufu #PopSmoke ameripotiwa kuachiwa huru kutoka jela, baada ya ...
24
Hakimi atua Tanzania, Rais wa Yanga ampokea
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’. Mchezaji huyu b...
24
Kukuruku asimulia Ruger alivyomwokoa
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
24
Mke wa Jay Blades adai talaka
Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuend...
23
Rashford agoma kuondoka Man United
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
23
Ayra starr: Nimepata umaarufu nikiwa na umri mdogo
Nyota wa Afrobeats kutoka nchini Nigeria Ayra Starr, amejigamba kwa kudai kuwa amepata umaarufu katika muziki akiwa na umri mdogo. Msanii huyo ameyasema hayo akiwa katika maho...
23
Bango laangukia mashabiki uwanjani
Mashabiki wasiopungua 20, wanadaiwa kuumia vibaya baada ya kuangukiwa na bango wakati mchezo dhidi ya klabu ya #Stevo na #FCTwente huko nchini Uholanzi. Taarifa zinaeleza kuwa...
23
Mwaliko wa harusi wasuluhisha ugomvi wa Davido na Pinnck
Mwamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido amemwalika harusi yake aliyekuwa Rais wa shirikisho la Soka la Nigeria, NFF #AmajuPinnick ingawa walikuwa katika mzozo wa kisheria. Taa...
23
Terry Joyce afariki dunia
Aliyekuwa mwigizaji wa vichekesho kutoka nchini Marekani Terry Joyce ambaye amewahi kuonekana katika kipindi cha Byker Grove na BBC Hebburn amefariki dunia. Kwa mujibu wa tovu...
23
Priyanka Chopra ampongeza mumewe kwa kumlea binti yao
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
22
Timberlake atumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu mwanamuzika wa Marekani, Justin Timberlake kukamatwa na polisi akiwa amelewa, msanii huyo ametumbuiza kwa mara ya kwanza katika tamasha la...

Latest Post