Rapa na mfanyabiashara kutoka Marekani, Kanye West 'Ye' amewajia juu kampuni ya Adidas baada ya kutumia jina lake wakati ambao mkataba wao wa kibiashara tayari umeshamalizika....
Mwanamuziki Kanye West amefunguka kuwa wakati anatoa kauli za chuki dhidi ya Wayahudi alikuwa amelewa.Kanye ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na mwanadada Candace Owen...
Kampuni maarufu inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ya Adidas iko mbioni kuzindua toleo maalumu la viatu vya marehemu mkali wa reggae kutoka Jamaica Bob Marley...
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya michezo na mavazi ya Adidas kutoka nchini Ujerumani imetanganza kuuza bidhaa zote za Kanye West zilizopo ndani (stock).
Hii...
‘Rapa’ na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kanye West ametangaza kuachia rasmi viatu vyake alivyovipa jila la ‘Yeezy pods’ vyenye thamani ya dola ...
Mshambuliaji wa ‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani, Lionel Messi amezawadiwa pete nane za dhahabu na kampuni ya Adidas kuenzi matukio yake muhimu katika...
Mkurugenzi Mtendaji wa Adidas Bjorn Gulden, hatimaye akiwa kwenye podcast ya “In Good Company”, amtetea Kanye West kwa mara ya kwanza tangu Adidas isitishe u...
Kampuni maarufu ya kutengezea nguo, viatu na vifaa mbalimbali ya Adidas imevunja mkataba wake na mwanamuziki mashuhuri kutoka nchini Marekani Beyonce, kutokana na mauzo ya bid...
Kampuni maarufu duniani kote ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata h...
Ooooooh! Waswahili wanamsemo wao bwana salimia watu pesa huishaa, basi bwana gumzo mitandaoni week hii ni kuhusiana na sakata kubwa la rapa Kanye west kufirisika baada ya mkat...