Shabiki aliyemvamia mkali wa Afrobeat Nigeria Burna Boy stejini na kupelekea msanii huyo kususia show na kushuka jukwaani amefunguka kuwa alipanda katika steji hiyo kwa lengo ...
Nyota wa ngumi za kulipwa Mike Tyson amefunguka jinsi alivyonusurika na Ukimwi.Tyson kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni na Rosie Perez ‘Interview Magazine’ am...
Ikiwa zimetimia siku 11 tangu mkali wa Hip hop Marekani, Sean Combs 'Diddy' ashikiliwe na polisi kwa makosa matatu, mojawapo likiwa la biashara ya ngono, hatimaye mwanasheria ...
Kufuatia tuhuma zinazomkabili mkali wa Hip hop kutoka Marekani Diddy, Sean ‘Diddy’ Comb huku baadhi ya mastaa mbalimbali kuhusishwa kwenye kesi zake, meneja wa msa...
Baada ya kuzuka kwa taarifa siku ya jana kuwa mwanamuziki Diddy yupo chini ya uangalizi wa kuzuia kujiua, Mwanasheria wa rapa huyo Marc Agnifilo afunguka kuhusu sakata hilo hu...
Baada ya kuzuka minong’ono kupitia mitandao ya kijamii ikidai kuwa aliyekuwa mwanamuziki wa kundi maarufu la nyimbo za Injili, Jamila Dotto kuwa ameondoka katika kundi k...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
Mwanamuziki kutoka Uganda Joseph Mayanja maarufu Jose Chameleone amefunguka siri ya mafanikio yake yanayomfanya andelee kukubalika katika tasnia ya muziki kwa kuweka wazi kuwa...
Baada ya kusambaa kwa picha za mwigizaji na nyota wa WWE, Dave Bautista zikimuonesha kapungua mwili tofauti na alivyokuwa awali, hatimaye mwigizaji huyo amefichua sababu za ku...
Msanii wa Hip-hop nchini Abdulrazak Selemani ‘Toxic’ wakati akifanya mahojianoa na Mwananchi Scoop, ameweka wazi hisia zake za kimapenzi kwa mwanamuziki Abigail Ch...
Mwanamitindo Chidimma Adetshina amefunguka ya moyoni baada ya kushinda taji la ‘Miss Universe Nigeria’ kwa kuwataka Waafrika kuacha kubaguana wenyewe kwa wenyewe.C...
Mrembo na mfanyabiashara Poshqueen amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake aliyowahi kufunga mwaka 2020 na John ambaye ni raia wa Nigeria huku chanzo kikubwa kikitanjwa kuwa...
Mwanamuziki wa taarab, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni....