Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith amedokeza ujio wa kurudishwa kwa filamu ya zamani ya ‘The Matrix’ akiweka wazi kuchukua nafasi ya Neo ambaye alikuwa ni muhusi...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Anjella ameweka wazi kuwa kwa sasa anaacha kabisa kuimba nyimbo za Bongo Fleva huku akidai kuwa anarudi kumtumikoa Mungu.“Bye Bye Bongo...
Mwanamuziki Adele ametangaza kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu wakala wa wachezaji Marekani Rich Paul, ndoa inayotarajiwa kufungwa siku zijazo.Adele amelithibitisha hi...
Mwanamuziki wa hip-hop kutoka nchini Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki.
Kanye mwen...
Mwanamieleka wa Marekani John Cena ametangaza kustaafu kushiriki mashindano ya World Wrestling Entertainment (WWE) usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Forbes Cena am...
Ikiwa tayari zimefanyika show 100, katika ziara ya dunia ya mwanamuziki wa Marekani Taylor Swift, ‘Eras Tour’, hatimaye msanii huyo ameweka wazi tarehe ya kutamati...
Baada ya kutoa taarifa kuwa anakuja na ngoma mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram na sasa ‘rapa’ Mr Blue ametangaza kufungua studio yake ya muziki iliyoipa ...
Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agost...
Licha ya watu watano kufariki na meli ya #OceanGate mwaka jana, bilionea kutoka jimbo la #Ohio nchini #Marekani Larry Connor ametangaza kuwa ana mpango wa kuanza safari ya kue...
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited italazimika kulipa pauni 60 milioni ili kumpata mchezaji wa klabu ya Crystal Palace F.C, Michael Olise msimu ujao.
Kw...
'Rapa’ kutoka nchini Marekani Lizzo ametangaza kuacha kufanya muziki baada ya kidai kuwa haoni manufaa wala mafanikio aliyoyapata toka aanze kufanya muziki.Kupitia ukura...
Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini ameweka wazi kuwa akirudi Tanzania anaoa kutokana na umri kumtupa mkono.Mbosso kupitia moja ya video zake amesikika akisema kuwa anaona utuuz...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....