Baba mzazi wa mwanamuziki wa Marekani Rihanna, Ronald Fenty, amezikwa jana Jumanne, Julai 8, 2025 nyumbani kwao Barbados baada ya kufariki Mei 31,2025.Rihanna na baba watoto w...
Kampuni inayojihusisha na kuandaa mashindano ya Miss Tanzania, 'The Look' imekata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa 'Basata' wa k...
Wakati baadhi ya watu wakimuhurumia Mzee Kikala wa kwenye tamthilia ya ‘Kombolela’ kwa mtihani anaopitia kwa kuwa na watoto wengi wasiokuwa na maadili kwenye tamth...
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo Aunty Ezekiel kufika bila kukosa katika ofisi ya bodi hiyo zilizopo kivukoni, Dar Es Salaam siku ya Alhamisi, Julai, 10 2025...
Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa ikitokea kaamua kuacha muziki hakutakuwa na tangazo wala waraka.“Japo sijafikiria na sina...
Msanii nguli wa Hip Hop kutoka Canada, Drake, ameweka historia mpya katika tasnia ya muziki duniani kwa kuwa msanii wa kwanza kuwahi kuingia kwenye orodha ya juu ya Billboard ...
Kama ulikuwa hujui basi leo nakujuza zaidi, kuna nchi ndogo zaidi duniani iitwayo Molossia, ambayo imekuwa ikiwavutia wengi kufuatia na utawala pamoja na maisha ya wananchi wa...
Mwimbaji wa muziki wa taarabu, Hanifa Maulid ‘Jike la Chui’ anayetamba katika tamthilia ya Kombolela kwa jina la Chiku, amesema amejifunza mengi baada ya kupa...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Jux amekanusha madai ya kufilisika hadi kufunga duka lake la African Boy baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya harusi yake mkewe Priscilla Ajok...
Mwanetu Gabo kachukua fomu. Dogo Stan Bakora kachukua fomu. Mshikaji wetu Mkojani kachukua fomu. Madevu wa Jua Kali kachukua fomu na shangazi yetu Aunt Zai wa Jua Kali na...
Ukitazama kwa umakini kwenye video ya wimbo wa Diamond ‘Nataka Kulewa’ utamwona Video King aliyepamba video hiyo lakini ukirudi kwenye ‘Marry Me’ wimbo...
Yanga wana utaratibu wa mara kwa mara. Kupika supu na kulisha bure mashabiki wao pale makao makuu ya klabu. Ni tukio kubwa lenye mvuto likikusanya maelfu ya mashabiki.Ub...
Peter AkaroRapa Witness a.k.a Kibonge Mwepesi ni miongoni mwa wanawake waliofanya vizuri sana katika muziki wa hip hop Bongo. Alikuwa mshindi wa Coca-Cola Popstar 2004 na alis...
Msanii wa vichekesho na mtayarishaji, AbdulMohamed 'Selengo' licha ya kuwachekesha wengine ni mtu ambaye uso wake unatawaliwa na machozi pindi anapozungumzia kitu ki...